huu ni upuuzi na kimsingi ni kuonyesha ni jinsi gani ambavyo sisi waalimu tuko duni katika kufikiri. hivi aliyeandika hiyo sms anafikiri watoto wa marehem shangaziye wakiwa miongoni mwa below lower scorers atafurah??
hivi anafikiri sustainable tanzania itajengwa na watu wasiokuwa na elimu?? halafu ni mwl hivi tunakumbuka vizuri phylosophy of education inasemaje??
mwl nyerere aliwah kusema tupige vita ujinga, maradhi na umaskini haya leo unatengeneza taifa la wajinga kwa makosa ya viongozi wao unategemea umaskini na maradhi visiwepo??
regardless our low wages we are supposed to think how are we going to improve our quality of education. kama unaona huwez basi opt for private schools basi.
nachukia sana sms za aina hii manake zinawaadhibu watoto ambao ni safi kabisa.

mh! Mwal. Kweli ww? Au ulikuwaga? Au ww ni wa UPE? Au unakaribia kustaafu? Kama yote hayo siyo, basi unapretend to be satisfied. You are not being real
Jibu lako linaonyesha kuwa umehamaki sana na kumkaripia mwandishi. Ingawa siungi mkono kutowafundisha wanafunzi kwa makusudi, ila kuna vigezo vingi sana ambavyo vinachangia kufaulu au kufeli kwa mwanafunzi. Kuna haja ya kuangalia kushuka kwa kiwango cha elimu ya Tanzania nje ya mishahara midogo tu ya waalimu, na kuangalia mambo mengine kama mazingira ya kazi, motisha, vifaa n.k.
Jukumu la kuboresha elimu ya taifa lipo zaidi mikononi mwa serikali na ni lazima serikali ilione hilo na kulipa kiupaumbele kuliko, nadiriki kusema, mambo mengine yote.
mm ni mwl, ila siungi mkono watt kufundishwa ama kusambaza ujumbe wa kutokufundisha watt. tena kwa makusudi kabisa.
swala hapa ni kujenga hoja na sio kulipa kisasi kwa innocent kids.
pole! Hakuna anaeadhibu hao watoto ila watoto wanaathirika kutokana na matokeo ya system mbovu! Ulitaka walimu wawe wanabomoa majengo, wawe wanachoma vitabu (kama vipo) kwakuwa wanafunzi ni sehemu katika sekta hii ni lazima waathirike na kususwa huku kwa sekta ya elimu.
kwani mbinu pekee ya kutatua hili tatizo ni kubomoa majengo na kuchoma vitabu??
wanaweza wakademonstrate kwa amani, wakatumia chama chao kupeleka hoja mahususi, wakatumia asasi za kiraia kupeleka ujumbe na wakaskilizwa.
unless wewe sio mwl lkn ungekuwa ni mwl basi ungeelewa ninachomaanisha manake hata tatizo la mwl sio salary peke yake. kama ishu ni mshahaa mbona hilo in rahisi kulisemea??
imagine mwaka 2012/2013 waalimwaliostahili kupanda vyeo hawajapandishwa simply kwasasabu serikali haina hela na ulitumwa waraka kwamba serikali haina pesa ya kupandisha vyeo kwani watakosa hela za mishahara mipya.
wafikiri kwa situation kama hii na wakati kupanda cheo ni haki ya mtumish wa umma, ukigoma kufundisha itakuwa ni sahihi?? kwann CWT isifungue kesi dhidi ya jamhuri kwamba watumisha wake wamenyimwa haki yao ya msingi?? tena kwa kufanya hivi wangeifanya serikali iwajibike pasavyo.
tuache kutuana midaid ya ugomvi tufikiri in a more positive way dhidi ya watoto wetu tunaowafundisha.
Naona umesahau uliyokuwa unayasema kipindi kile cha mgomo.Pole sana
huu ni upuuzi na kimsingi ni kuonyesha ni jinsi gani ambavyo sisi waalimu tuko duni katika kufikiri. hivi aliyeandika hiyo sms anafikiri watoto wa marehem shangaziye wakiwa miongoni mwa below lower scorers atafurah??
hivi anafikiri sustainable tanzania itajengwa na watu wasiokuwa na elimu?? halafu ni mwl hivi tunakumbuka vizuri phylosophy of education inasemaje??
mwl nyerere aliwah kusema tupige vita ujinga, maradhi na umaskini haya leo unatengeneza taifa la wajinga kwa makosa ya viongozi wao unategemea umaskini na maradhi visiwepo??
regardless our low wages we are supposed to think how are we going to improve our quality of education. kama unaona huwez basi opt for private schools basi.
nachukia sana sms za aina hii manake zinawaadhibu watoto ambao ni safi kabisa.
kwani mbinu pekee ya kutatua hili tatizo ni kubomoa majengo na kuchoma vitabu??
wanaweza wakademonstrate kwa amani, wakatumia chama chao kupeleka hoja mahususi, wakatumia asasi za kiraia kupeleka ujumbe na wakaskilizwa.
unless wewe sio mwl lkn ungekuwa ni mwl basi ungeelewa ninachomaanisha manake hata tatizo la mwl sio salary peke yake. kama ishu ni mshahaa mbona hilo in rahisi kulisemea??
imagine mwaka 2012/2013 waalimwaliostahili kupanda vyeo hawajapandishwa simply kwasasabu serikali haina hela na ulitumwa waraka kwamba serikali haina pesa ya kupandisha vyeo kwani watakosa hela za mishahara mipya.
wafikiri kwa situation kama hii na wakati kupanda cheo ni haki ya mtumish wa umma, ukigoma kufundisha itakuwa ni sahihi?? kwann CWT isifungue kesi dhidi ya jamhuri kwamba watumisha wake wamenyimwa haki yao ya msingi?? tena kwa kufanya hivi wangeifanya serikali iwajibike pasavyo.
tuache kutuana midaid ya ugomvi tufikiri in a more positive way dhidi ya watoto wetu tunaowafundisha.
mm ni mwl, ila siungi mkono watt kufundishwa ama kusambaza ujumbe wa kutokufundisha watt. tena kwa makusudi kabisa.
swala hapa ni kujenga hoja na sio kulipa kisasi kwa innocent kids.
Hata walimu hawapendi kugoma kimoyomoyo ila serikali ndiyo inayolazimisha haya yote."Dharau kwa walimu"Kumbuka mwalimu peke yake hawezi kuboresha elimu nchini ni pamoja na serikali.Unajitolea kufundisha halafu unakatishwa tamaa maana yake nini?Acha tu atakaebahatika atatokamo.sija yasahau na msismamo wangu ni ulele ila sasa mgomo umeisha tunatakiwa tufanye kazi visasi vya nn juu ya wanafunzi?? ni bora tuendelee na mgomo na mm nitagoma kwa moyo wote ijulikane kwamba tumegoma lkn si kusema tunakwenda kufundisha halafu hatufundishi, hii ni adhabu kwa wanafunzi na sio kwa serikali.