Hapa ndipo ninapoipendea CCM

Hapa ndipo ninapoipendea CCM

Mara moja kila baada ya miaka mitano sio mbaya!!!
 
baada ya kutumika kutoa tamko la kidini?????????iginga
 
Hii staili ya CCM ya ubwabwa hii mbona kama vile .......mmmh!!!.............ngoja ni-reserve comment mpaka nitafute kauli ya Rev. Masa
 
hivi vitu vingine ni aibu kwa viongozi wa maeneo hayo..
 
UNajua mimi huwa siamini kwamba watu hupewa ubwabwa!!!

Is this true? Is it a CCM startegy?
 
Hivi hatuna mwana JF toka Takukuru ?? angalau atufahamishe walichukua hatua gani.....kwa huu ubwabwa........
 
Hii staili ya CCM ya ubwabwa hii mbona kama vile .......mmmh!!!.............ngoja ni-reserve comment mpaka nitafute kauli ya Rev. Masa

166649_193157790700856_100000199094899_825364_4376743_n.jpg

Hii style imeanzia ngazi ya taifa mpaka huku chini
 
Jamaa amesimama pembeni ana pen na note book kurekodi idadi ta sahani zilizogaiwa. Halafu maharage yameisha sahani mbili kavu, duh!
 
Ahaa magamba, hii style ya ubwabwa kweli wa k were mtawapata
 
Jamaa amesimama pembeni ana pen na note book kurekodi idadi ta sahani zilizogaiwa. Halafu maharage yameisha sahani mbili kavu, duh!

hapo unapita na kadi yako ya kura inanakiliwa namba....
 
Back
Top Bottom