Hapa ndipo CCM inawapiga bao wapinzani

Vyamavingi

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,745
5,446
Jana nilitembelewa na Balozi wa nyumba 10 wa CCM ambaye ni jirani yangu. Amekuja na karatasi / fomu mkononi na kunikabidhi ati nijaze jina langu, namba ya kadi ya CCM, na namba ya kadi ya mpiga kura! Anasema chama kinachukua upya takwimu za wanachama wake. Hakujua kuwa mimi sio mwana CCM na nikatumia nafasi hiyo kumwambia kuwa mimi sio mwanachama wa Chama chochote cha siasa.

Ili kumsaidia malengo yake, nikampeleka kwenye nyumba nyingine zilizo ndani ya uzio tunaoishi pamoja.

Nyumba ya kwanza tumemkuta mke wa mpangaji ambaye akatuambia kuwa naye sio mtu wa siasa na hana kadi ya chama chochote. Nikamchokoza huyo dada, vipi kuhusu John (mumewe ), akasema John yeye ni Chadema! Nikampeleka Balozi nyumba ya tatu, akatoka house girl. Kwa kuwa ni mtu mzima, nikamtambulusha kwa Balozi, dada akasema kadi yake hajui iko wapi. Balozi akauliza kuhusu kipalata cha kupiga kura, dada akasema hajui kiko wapi, hatimaye akapata ujasiri wa kusema yeye sio CCM.

Basi sikutaka hata kumpleka Balozi nyumba ya mwisho, nikamwambia jamaa hayupo maana msela anayekaa hapo najua kwa uhakika kuwa ni Chadema damu.

Nilichojifunza na kumpa Balozi pongezi ni ile ari yake ya kutekeleza maagizo ya Chama chake; na kuwa kwa CCM, uchaguzi unapoisha, wanajiandaa kwa uchaguzi unaokuja.

Wapinzani, jifunzeni kupitia mikakati ya CCM, hapo ndipo wanawapiga bao.

Vv
 
Nami pia nimeishuhudia hii. Wapinzani waige ili kujiimarisha
 
mabalozi hatuishi nao wapo nje ya nchi mfano dau kateuliwa juzi hutaweza kuishi nae na kuzunguka nae
 
  • Thanks
Reactions: Fdt
Jana nilitembelewa na Balozi wa nyumba 10 wa CCM ambaye ni jirani yangu. Amekuja na karatasi / fomu mkononi na kunikabidhi ati nijaze jina langu, namba ya kadi ya CCM, na namba ya kadi ya mpiga kura! Anasema chama kinachukua upya takwimu za wanachama wake. Hakujua kuwa mimi sio mwana CCM na nikatumia nafasi hiyo kumwambia kuwa mimi sio mwanachama wa Chama chochote cha siasa.

Ili kumsaidia malengo yake, nikampeleka kwenye nyumba nyingine zilizo ndani ya uzio tunaoishi pamoja.

Nyumba ya kwanza tumemkuta mke wa mpangaji ambaye akatuambia kuwa naye sio mtu wa siasa na hana kadi ya chama chochote. Nikamchokoza huyo dada, vipi kuhusu John (mumewe ), akasema John yeye ni Chadema! Nikampeleka Balozi nyumba ya tatu, akatoka house girl. Kwa kuwa ni mtu mzima, nikamtambulusha kwa Balozi, dada akasema kadi yake hajui iko wapi. Balozi akauliza kuhusu kipalata cha kupiga kura, dada akasema hajui kiko wapi, hatimaye akapata ujasiri wa kusema yeye sio CCM.

Basi sikutaka hata kumpleka Balozi nyumba ya mwisho, nikamwambia jamaa hayupo maana msela anayekaa hapo najua kwa uhakika kuwa ni Chadema damu.

Nilichojifunza na kumpa Balozi pongezi ni ile ari yake ya kutekeleza maagizo ya Chama chake; na kuwa kwa CCM, uchaguzi unapoisha, wanajiandaa kwa uchaguzi unaokuja.

Wapinzani, jifunzeni kupitia mikakati ya CCM, hapo ndipo wanawapiga bao.

Vv

Pengine itakuwa sahihi ukibadilisha kichwa cha habari kikasomeka naman jeshi la polisi linavyosimamia ccm kwa mtutu.

Hivi hao ccm wako wapi? Ni wangapi?

Upinzani watafanyaje hayo unayowashauri ambapo wakikusanyika hata ndani wanaambiwa wachochezi ama wanahatarisha usalama?

Hivi leo hii upinzani wangefanya hilo, ungesikia wamekamatwa na kuwekwa ndani ya kukusanyika kinyume cha matakwa ya polisi.

Wakati huo huo, ccm ambao ni wachache mno, wanafanya siasa wapendavyo.

Iko namna nyingine zaidi ya hapo inayoweza kufanyika na polisi wasijue.
 
Jana nilitembelewa na Balozi wa nyumba 10 wa CCM ambaye ni jirani yangu. Amekuja na karatasi / fomu mkononi na kunikabidhi ati nijaze jina langu, namba ya kadi ya CCM, na namba ya kadi ya mpiga kura! Anasema chama kinachukua upya takwimu za wanachama wake. Hakujua kuwa mimi sio mwana CCM na nikatumia nafasi hiyo kumwambia kuwa mimi sio mwanachama wa Chama chochote cha siasa.

Ili kumsaidia malengo yake, nikampeleka kwenye nyumba nyingine zilizo ndani ya uzio tunaoishi pamoja.

Nyumba ya kwanza tumemkuta mke wa mpangaji ambaye akatuambia kuwa naye sio mtu wa siasa na hana kadi ya chama chochote. Nikamchokoza huyo dada, vipi kuhusu John (mumewe ), akasema John yeye ni Chadema! Nikampeleka Balozi nyumba ya tatu, akatoka house girl. Kwa kuwa ni mtu mzima, nikamtambulusha kwa Balozi, dada akasema kadi yake hajui iko wapi. Balozi akauliza kuhusu kipalata cha kupiga kura, dada akasema hajui kiko wapi, hatimaye akapata ujasiri wa kusema yeye sio CCM.

Basi sikutaka hata kumpleka Balozi nyumba ya mwisho, nikamwambia jamaa hayupo maana msela anayekaa hapo najua kwa uhakika kuwa ni Chadema damu.

Nilichojifunza na kumpa Balozi pongezi ni ile ari yake ya kutekeleza maagizo ya Chama chake; na kuwa kwa CCM, uchaguzi unapoisha, wanajiandaa kwa uchaguzi unaokuja.

Wapinzani, jifunzeni kupitia mikakati ya CCM, hapo ndipo wanawapiga bao.

Vv
siasa ni itikadi flani. kama njia. si lazima kuigana. chadema wakiiga ccm hakuna chadema!! kila mtu na maoni yake, heko ccm, heko chadema..kila mtu na njia yake
 
Tabby, huyo Balozi wa nyumba kumi alitembelea nyumba zote akiwa peke yake, hakukuwa na kundi. Wapinzani walijaribu kufanya hivyo wakakamatwa? Hivi mtu kumtembelea jirani nalo ni kosa?

Vv
 
Hapo Uliposema Kipalata (Kadi Ya Mpiga Kura)Nimejua Wazi Mleta Mada Ni Mkazi Wa Kigoma
 
Hizo mbinu mbona EL, sumaye na kubwa lao kingunge wanazijua!! Siku hizi kuna mikakati mingine mipya na ndomaana tunawaambia Lowasa ikulu ataiota ndotoni tuu.
 
Back
Top Bottom