Pearl
JF-Expert Member
- Nov 25, 2009
- 3,036
- 321
Ah ah ah twini shemeji yako kaenda kanisani
pacha wangu leo kaamkiwa na jamaa!!! Kila aendapo anae!!!
pacha wangu leo kaamkiwa na jamaa!!! Kila aendapo anae!!!
huwa yanasaidia sana kupatana na kuanza mwanzo mpya wenye heshima. pia kuna mabadiliko mengi tu hutokea ambayo ni positive. mfano mkulu uliyemzungumzia alibadili av yake immediateli na hata lugha yake na yangu ilibadilika, chunguza utaona.
hizi ni positive contributions za conflicts katika jamii. zinatusaidia kuji-adjust kama jamii na kujikosoa.
eti kasema akija ndo atachangia.........hahaaaa maombi kwanza!!!!Ah ah ah twini shemeji yako kaenda kanisani
lakini hujamtendea Pearl haki...mbona kwenye ile thread hajamtaja mtu...labda iwe sijaisoma vizuri lakini sijaona jina la mtu...je kama ni mtu mwingine anamaanisha?....usiusemee moyo wake
hahahaaaaaaaaa wacha nicheke kwanza mie...................kumbe unayajua hayo maneno na wewe pia!!!....................... mpendwa, yamekweisha tazama yote yamekuwa mampya!!!!!!!!
mshukuruni Bwana kwa kuwa ni Mwema, Mshukuruni kwa kuwa fadhili zake ni za Milele
....................... mpendwa, yamekweisha tazama yote yamekuwa mampya!!!!!!!!
mshukuruni Bwana kwa kuwa ni Mwema, Mshukuruni kwa kuwa fadhili zake ni za Milele
hahahaaaaaaaaa wacha nicheke kwanza mie...................kumbe unayajua hayo maneno na wewe pia!!!
unapenda sana kesi nawe aaah!!!! muone afu nikikusaidia kusuluhisha ndo unaendelea kuleta jeuri
ha ha haaa,limefurahi jamaa yangu dhaifu kweli huyu.
Nani anayekufurahisha hapa JF?
mbn nimeku pm twin hujanijib?
hahaha.... jeuri iko wapi sasa? huoni hayo mabadiliko? au kwa kuwa ni mpwao???????????.........haya bwana kumbuka mpendwa imeandikwa "heri wapatanishi, maana hao wataitwa watoto wa Mungu" furahi na kushangilia dada kwani tangu leo utaitwa mtoto wa Mungu. ubarikiwe
hilo linakupa shida pia tuliombee msamaha???
Julius harafu sio vizuri hivyo unaondoka kimya kimya unarudi kimya kimya tumekutafuuuuuuuuuuuuuuuuta wewe 😀
Wote mnanifurahisha mie
hapana dear be at peace always. use it as much as you can. ni kwa sababu tu that is ow you identify yourself!!!!!!!!
lakini umeona mabadiliko nadhani....................
this time yasiwe ya muda nataka mbadiliko yawe ya kudumu sawa eeeh!!!!
hahahaaaaaaaa lol!!lonh live my dia bht, dont wore, laws are thee to be brocken, life is there to be lived, bht is there to be obeyed.......................
hahahaaaaaaaa lol!!
usijali mkuu tupo pamojakipi dhaifu hapo, ni kupatana au kusamehe, kumbuka tunatakiwa kupatana hata saa mara sabini, sasa nani dhaifu, aliyesamehe mara saba, au yule aliyesamehe msaba mara sabini.
kumbuka msipowasamehe watu makosa yao, wala baba enu wa mbinguni hatawasamehe ninyi
wenzio tumeanza enzi mpya. na tuna uhakika kuwa baba yetu wa mbinguni ametusamehe makosa yetu yote
mbarikiwe wote
nimeiona na hii,sometime ukitulia huwa unatoa maneno yanayoeleweka sana.huwa yanasaidia sana kupatana na kuanza mwanzo mpya wenye heshima. pia kuna mabadiliko mengi tu hutokea ambayo ni positive. mfano mkulu uliyemzungumzia alibadili av yake immediateli na hata lugha yake na yangu ilibadilika, chunguza utaona.
hizi ni positive contributions za conflicts katika jamii. zinatusaidia kuji-adjust kama jamii na kujikosoa.