Me nimeshawahi tumiwa sms inbox fb kama thelathin but huwa nawaignore..but kuna siku nikamzingua mmoja nikampa email alikuwa anaitwa mercy harry alikuwa na same story na kama haupo makini wanakuingiza kingi...then nikampiga bit kuwa ni usalama wa taifa wa tz na najua ip adress yake na pakumpata..akakimbia mazima.
Mkuu inaonekana internet umeanza juzijuzi.. Spam za staili hii toka miaka kumi iliyopita nilikua naziona.
Hiyo inaitwa unatapeliwa hadi muda wa kuja kupost hiyo kitu hapa
Hili dili limemdondokea mfanyakazi mwenzangu nimemsihi ni utapeli kabisha
anastaafu mwakani nasubiri tu wanaijeria wamuibie kiinua mgongo aanguke kwa presha!!!!
Huo ni utapeli wa kimataifa;
Nilishakutana nao miaka mingi iliyopita
ile nakaribia mwisho
nikawaambia wanipe full contacts zao
ili niwasiliane kwanza na balozi yetu huko kwao
in case of anything wafuatilie pesa yangu;
ikawa ndo mwisho wa mawasiliano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.