Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,931
- 828,585
Mwisho wa wiki hii mitandao ilivamiwa na slogan ya NO REFORMS NO ELECTION
Hii ilikuwa kama Slogan mama! Kisha ikasindikizwa na zingine kama
#Free Lissu nk
Lakini hapo hapo sambamba na hilo ikaja pia kampeni ya ku "unfollow" mitandaoni watu maarufu ambao walionekana kutounga mkono NO REFORMS NO ELECTION.. Mwathirikab mkuu akiwa Milard Ayo
Government organs nyingi ilibidi zifunge sehemu ya comment kwa yale waliyopost kwakuwa asilimia karibia 95 ziiijaa NO REFORMS NO ELECTION! Ni almost mitandao ili parallysed na hizo slogans toka kwa wachangiaji
Ni mpaka jana mchana upande wa pili walipokuja na OCTOBA TUNATIKI.. Ambayo bado inachechemea kwakuwa ni kama imevamia gari kwa mbele ambalo liko kwenye spidi kubwa
Octobatunatiki sidhani kama itauweza moto wa NORE NOE.. Maana ni HIARI vs SHURUTI... Na hiari siku zote yashinda utumwa.. NoRe NoE watu wanajitolea lakini octobatunatiki inaandaliwa bajeti
Bila kupepesa macho unaweza kuona ni nani kajaa kwenye mfumo wa mwenzake!
No tresspassing.. Otherwise! Vitasa😂