Hapa nafanyaje........?

Hakuna kilichofanyika........nimeondoa vitu vingi lakini ngoma ipo pale pale......kuna mtu kaniambia ni virus hiyo........hapo nafanyaje.......?

jaribu ku update kwenda 4.3 ukiona still inazingua wafuate ofisini kwao samsung. hope una warranty. hili haliekei kua tatizo la android bali ni os yenyewe tu
 
Ni bure kabisa......sijaona upuuzi kama huu kwenye IOS.....

.
Hukupaswa kuwepo Android
.
Sema basi tuu..... Inatakiwa uhame kabisa uludi uliko toka...
.
 
jaribu ku update kwenda 4.3 ukiona still inazingua wafuate ofisini kwao samsung. hope una warranty. hili haliekei kua tatizo la android bali ni os yenyewe tu

Mkuu......naona imerudi katika mazingira ya kutatanisha.......nilikuwa nahamishia vilivyopo kwenye laptop.......baada ya uhamisho kukamilika kifaa kikarudi katika hali ya awali.......kwa sasa najimuvuzisha taratibu.....kilichofanyika........sina taarifa nacho........
 
kasheshe sasa kama ungekuwa fundi mwenye sim anakuuliza tatizo lilikuwa nini fundi umgemwambiaje??

yaani hapo hata kumtoza hera lazima ujistukia tatizo likirudia tena itakuwaje?
 
kasheshe sasa kama ungekuwa fundi mwenye sim anakuuliza tatizo lilikuwa nini fundi umgemwambiaje??

yaani hapo hata kumtoza hera lazima ujistukia tatizo likirudia tena itakuwaje?

Tatizo likirudi ningemwambie hakufuata maelekezo........ila nashukuru sio fundi......maana.....
 
Tatizo likirudi ningemwambie hakufuata maelekezo........ila nashukuru sio fundi......maana.....

okey kwamfano kwatatizo hilo hapo ungempa maelekezo gani hasa. na ungemwambia tatizo lilitokana na nini?
 
Chief-Mkwawa na mimi simu yangu ina tatizo hilo hilo, nikijaribu kuiondoa app ya instagram, app hiyo inakataa na inaleta hayo maelezo..unfortuntly gapps..... na simu inazima kabisa kila nikijaribu tena inakataa na huwa pia data inajiswitch on yenyewe. Naomba unisaidie mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…