mangenge2679
Senior Member
- Jan 30, 2018
- 188
- 109
Hapa nafanyaje wana IT inanisumbua sana
Kwanza pc yako ina ukubwa gani weka hapa tuone alafu rudi nyuma utuoneshe ilo file vizuriHapa nafanyaje wana IT inanisumbua sanaView attachment 2752540
Ram 8Kwanza pc yako ina ukubwa gani weka hapa tuone alafu rudi nyuma utuoneshe ilo file vizuri
Weka hapa ilo file la game nilione vizuriRam 8
Hdd 500
File ukubwa Gb 3.02