Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,617
- 287,350
- Thread starter
- #61
Si unieleweshe alichomaanisha mmiliki wa ccm Kikwete!We ngedere CCM inakuhusu nini.
Si unieleweshe alichomaanisha mmiliki wa ccm Kikwete!We ngedere CCM inakuhusu nini.
Umenikumbusha kipindi fulani mwaka fulani. Kuna watu sehemu Moja waliulizwa, jamani mtachanja??? Majibu yaliyosikika sasaaa!! "Achanjaa, achanjii" hakuna kilichoelewekausikae hata siku moja ukaamini watu wenye njaa, wafuasi wengi wa CCM wale oyaoya jamii ya kina Lusinde ni njaa njaa wanaowaza survival yao..
Mmeshiba = ndioooo, Mna njaa= ndioooo.
Unafikiri watu wa namna hii Wana akili timamu?... Watu wa namna hii ni njaa ndio I awaongoza.
CCM na system vimetekwa vyote ni mali ya wahuni siku nyingi, wao ndio waamuzi wa nini kifanyika, wao ndio wanatucheza shere na kutufanya wanasesere.
ndani ya mitaa ya Damascus - Syria.
Siyo kama, bali ni mazezeta plus.Kwahiyo Wajumbe wao wako kama Mazezeta tu?
😆😆😆😆Siyo kama, bali ni mazezeta plus.
Aliongelea hiyo plan akiongozwa na hulka za kibinafsi. Mtoto wake Ridhiwani ni waziri hivi sasa na ameshamaliza kila kitu yeye JK.Siku moja wakati JK ni waziri, tukiwa Kilimani Club - Dodoma, aliwahi kutuuliza kama tuna "succession plans" kwa watoto wetu, sasa baada ya sakata hili la Polepole, ndio nimeelewa jinsi alivyo execute "succession plan" kwa Riziwani.
Aliongelea hiyo plan akiongozwa na hulka za kibinafsi. Mtoto wake Ridhiwani ni waziri hivi sasa na ameshamaliza kila kitu yeye JK.
Vipi kuhusu wazazi wenye watoto wenye akili kumzidi Ridhiwani lakini wanaishia huko vijijini kwa sababu hawana wa kuwashika mikono na kuwafikisha mahali fulani pazuri?.
Kuna kipindi miaka ya nyuma kidogo pale BOT waliorodhesha majina ya watoto wa vigogo waliokuwa na nafasi nzuri lakini elimu zao duni.
Baba zao wenye succession plans waliwapigia krosi. Ni akili zile zile za wanasiasa za kujitazama wao na familia zao huku wakikosa busara za kawaida tu za kuisambaza keki ya taifa kwa familia zenye watoto wenye maisha duni.
Nyerere anaendelea kukumbukwa kwa sababu alijitahidi kutowapendelea watoto wake kwa nafasi ya urais aliyokuwa nayo, angeweza kuwa tajiri sawa na Marehemu Mobutu lakini akachagua kuishi akifanana na mtu wa kawaida tu.
JK ana ndoto ya kuona Riz anakuwa Rais angali yupo hai.Aliongelea hiyo plan akiongozwa na hulka za kibinafsi. Mtoto wake Ridhiwani ni waziri hivi sasa na ameshamaliza kila kitu yeye JK.
Vipi kuhusu wazazi wenye watoto wenye akili kumzidi Ridhiwani lakini wanaishia huko vijijini kwa sababu hawana wa kuwashika mikono na kuwafikisha mahali fulani pazuri?.
Kuna kipindi miaka ya nyuma kidogo pale BOT waliorodhesha majina ya watoto wa vigogo waliokuwa na nafasi nzuri lakini elimu zao duni.
Baba zao wenye succession plans waliwapigia krosi. Ni akili zile zile za wanasiasa za kujitazama wao na familia zao huku wakikosa busara za kawaida tu za kuisambaza keki ya taifa kwa familia zenye watoto wenye maisha duni.
Nyerere anaendelea kukumbukwa kwa sababu alijitahidi kutowapendelea watoto wake kwa nafasi ya urais aliyokuwa nayo, angeweza kuwa tajiri sawa na Marehemu Mobutu lakini akachagua kuishi akifanana na mtu wa kawaida tu.
Mungu apishe mbaliJK ana ndoto ya kuona Riz anakuwa Rais angali yupo hai.
Hizi "shenanigans" zote tuzionazo CCM ni kwa ajili ya kumuweka mahali pazuri Riz.
Unaweza "kukiuka", mradi usionekane "umekiuka saaana"!
Ni kama vichekesho; lakini ndio ukweli halisi!Alafu alivyosema hivyo na wajumbe walishangilia!!
Lusinde alivyosema mama Samia atupishe kwanza wajumbe walishangilia!
Kauli nyingine iliyosema akaye tu pia wajumbe walishangilia!
Siku hizi Sijui nianzie waPi kuchangia kwenye hoja zako, mkuu 'Steven'!Miaka 75 mwezi Oktoba mwaka huu lakini anajidanganya kwamba bado ana akili kuliko watanzania milioni 65 anapenda sana makundi ya fitina.
Anafanya mazoezi ili aonekane bado yupo fiti lakini uzee ni asili huwa haukwepeki.
Alitakiwa awe amekaa kwenye sofa anasoma vitabu na kuongea na wajukuu lakini bado anazipenda safari za masaa kumi ndani ya ndege!.
Walikiuka taratibu hapo kakiri moja kwa moja bila kushurutishwa na mtu. Machawa wajitafakari
Ni mara chache sana watu wa aina yake kutokea ndani ya taifa; na hasa wakati husika.Huyu Kikwete hovyo sana. Mwl.Nyerere alikuwa sahihi kumkataa. Julius Nyerere was visionary vibaya sana
UmemPa za uso hasa; na anazistahili kwa kukuita wewe "mmbea".Kuahirisha vikao si bure, halafu sisi hatuhangaiki na mambo ya ccm wanayaleta wenyewe.
Kwani mimi ni Polepole?
Kati ya wewe kapuku na Polepole ni yupi anaijua ccm?
Kuahirisha vikao si bure, halafu sisi hatuhangaiki na mambo ya ccm wanayaleta wenyewe.
Kwani mimi ni Polepole?
Kati ya wewe kapuku na Polepole ni yupi anaijua ccm?
Bila dola ccm ni wepesi kuliko pambaMimi baba ya mama yako, pumbaf kabisa wewe msukule wa Mbowe..!!
Usukule wa Mbowe umekupoteza, these days umechanganyikiwa..!!
Chadema mnaongelea mambo ya CCM as if wewe tumbili unajua kumbe hujui chochote, kazi kujipa empty hope, CCM unaijua au unacheza cheza tu, acha ujinga tumbili wewe