GE2025 Hapa Mzee Kikwete Alikuwa anamaanisha nini?

GE2025 Hapa Mzee Kikwete Alikuwa anamaanisha nini?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Alafu alivyosema hivyo na wajumbe walishangilia!!

Lusinde alivyosema mama Samia atupishe kwanza wajumbe walishangilia!

Kauli nyingine iliyosema akaye tu pia wajumbe walishangilia!
😁😁😁😁
 
Alafu alivyosema hivyo na wajumbe walishangilia!!

Lusinde alivyosema mama Samia atupishe kwanza wajumbe walishangilia!

Kauli nyingine iliyosema akaye tu pia wajumbe walishangilia!
Hawa wajumbe wapo kama mazombie, chochote wanachoambiwa wao hawa reason, kazi kushangilia tu.
 
usikae hata siku moja ukaamini watu wenye njaa, wafuasi wengi wa CCM wale oyaoya jamii ya kina Lusinde ni njaa njaa wanaowaza survival yao..

Mmeshiba = ndioooo, Mna njaa= ndioooo.
Unafikiri watu wa namna hii Wana akili timamu?... Watu wa namna hii ni njaa ndio I awaongoza.

CCM na system vimetekwa vyote ni mali ya wahuni siku nyingi, wao ndio waamuzi wa nini kifanyika, wao ndio wanatucheza shere na kutufanya wanasesere.

ndani ya mitaa ya Damascus - Syria.
 
Mtu hatari sana huyo, ni mzee lakini bado ana umjinimjini na ujanjaujanja mwingi
Miaka 75 mwezi Oktoba mwaka huu lakini anajidanganya kwamba bado ana akili kuliko watanzania milioni 65 anapenda sana makundi ya fitina.

Anafanya mazoezi ili aonekane bado yupo fiti lakini uzee ni asili huwa haukwepeki.

Alitakiwa awe amekaa kwenye sofa anasoma vitabu na kuongea na wajukuu lakini bado anazipenda safari za masaa kumi ndani ya ndege!.
 
Unaambiwa kimenuka ile mbaya!
Nani mwenye Ubavu wa kukinukisha mbele ya Mwenyekiti ambaye pia ndiye Mkuu wa Nchi Yoootee na Taasisi zootee uzijuazo yeye ndiye Boss wao 😳 ??!!

Haya maneno hata siyaamini kabisa !
Kwani Katiba mpya imeshaandikwa ??!
Haya ngoja Tusubiri tuone hii movie šŸŽ„ šŸ˜„šŸ˜…šŸ¤·šŸæā€ā™‚ļø
 
Back
Top Bottom