GE2025 Hapa Mzee Kikwete Alikuwa anamaanisha nini?

GE2025 Hapa Mzee Kikwete Alikuwa anamaanisha nini?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Alafu alivyosema hivyo na wajumbe walishangilia!!

Lusinde alivyosema mama Samia atupishe kwanza wajumbe walishangilia!

Kauli nyingine iliyosema akaye tu pia wajumbe walishangilia!
Watu wanaoshangilia ukisema kulia, kushoto, juu na chini, hawa tuwaiteje!!??
 
Alafu alivyosema hivyo na wajumbe walishangilia!!

Lusinde alivyosema mama Samia atupishe kwanza wajumbe walishangilia!

Kauli nyingine iliyosema akaye tu pia wajumbe walishangilia!
Wajumbe wanashangilia kila kitu.Nadhani ilikuwa ni posho za kikao ndiyo ziliondoa ufahamu .au pia inawezekana kuna tuvitu tuliwekwa kwenye chai ya saa nne.
 
SmartSelect_20250721_211128_Samsung Internet.jpg
 
Miaka 75 mwezi Oktoba mwaka huu lakini anajidanganya kwamba bado ana akili kuliko watanzania milioni 65 anapenda sana makundi ya fitina.

Anafanya mazoezi ili aonekane bado yupo fiti lakini uzee ni asili huwa haukwepeki.

Alitakiwa awe amekaa kwenye sofa anasoma vitabu na kuongea na wajukuu lakini bado anazipenda safari za masaa kumi ndani ya ndege!.
Siku moja wakati JK ni waziri, tukiwa Kilimani Club - Dodoma, aliwahi kutuuliza kama tuna "succession plans" kwa watoto wetu, sasa baada ya sakata hili la Polepole, ndio nimeelewa jinsi alivyo execute "succession plan" kwa Riziwani.
 
Bila ya huyu mzee kuondoka sioni matumaini kwa Tanganyika. Familia yenye tamaa isiyo na kikomo utafikiri hela wataondoka nazo wakifa! Sema tu wazuri huwa hawafi!
 
Alafu alivyosema hivyo na wajumbe walishangilia!!

Lusinde alivyosema mama Samia atupishe kwanza wajumbe walishangilia!

Kauli nyingine iliyosema akaye tu pia wajumbe walishangilia!
Siku ila wajumbe wa CCM ni kama walichanganyikiwa. Mjumbe akitoa hoja wanashangilia hoja ikikanushwa pia walikuwa wanashangilia, tena wengine ni wajumbe wa maana ambao wamekabidhiwa Wizara wasimamie. Tunasafari ndefu sana!
 
Hakuna chochote, kimenuka nini? Mbona nyie watu mnapenda kuongea kwa hisia badala ya uhalisia? Wewe utoe wapi credible infos za ndani kabisa za CCM? Acha umbea
Kuahirisha vikao si bure, halafu sisi hatuhangaiki na mambo ya ccm wanayaleta wenyewe.

Kwani mimi ni Polepole?

Kati ya wewe kapuku na Polepole ni yupi anaijua ccm?
 
Back
Top Bottom