ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,726
- 127,672
Mtu mzima ukishindwa kubali yaishe, unachobishana hapo nini sasa kama sio ujinga.Angeongelea ligi ndo angesema ulaya ila kuhamia kahamia Asia
Mtu mzima ukishindwa kubali yaishe, unachobishana hapo nini sasa kama sio ujinga.Angeongelea ligi ndo angesema ulaya ila kuhamia kahamia Asia
Ni aibu kukubali kushindwaMtu mzima ukishindwa kubali yaishe, unachobishana hapo nini sasa kama sio ujinga.
Pole sana.Tofauti yako na kiazi na maganda
GoodYou are a devil's advocate
Hapa naona tutakesha,I rest my case!!! Sawa kaenda Asia🙌🙌
Kukubali Israel ni ulaya hiyo kubali weweMtu mzima ukishindwa kubali yaishe, unachobishana hapo nini sasa kama sio ujinga.