Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,712
- 1,660
Mimesoma chapisho lake kwenye mtandao wa Instagram akizungumzia uhamisho wa Kennedy Musonda aliyekuwa mchezaji wa club ya Yanga ambaye kwasasa katimkia timu moja huko Israel.
Maswali niliyojiuliza baada ya kusoma chapisho lake lote ni haya hapa tusaidiane kujiuliza:
Je Maulid hakusoma jiografia kama mimi niliyekalia kuvua samaki mto Pangani wakati wenzangu wakiwa darasani?
Je hakuwa na taarifa sahihi kuhusu uhamisho wa mchezaji huyo?
Je anafanya makusudi kaamua tucheke Musonda kuhamia Ulaya?
Je huenda mimi ndiye nimeelewa tofauti kutokana na uwezo wangu mdogo wa kufikiri (IQ ndogo)🙏🙆♂️