KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,149
Hii ni sekretarieti lakini, sio CC; tulichonacho so far ni wajumbe saba wa sekretarieti ambao automatically wanaingia kwenye CC; Kwahiyo hawa ni wajumbe wa mwanzo wa CC i.e. wajumbe saba kati ya jumla ya wajumbe ishirini, which makes it only one third of the total so far; Ni muhimu tusubiri uteuzi wa wajumbe 13 waliobakia ili tujue ni kina nani, then ndio tuingie katika analysis husika;
Mchambuzi, I now hate this ccm of current times with all my heart so I am not biased on anything concerning the current ccm! But nevertheless, sioni jinsi lowassa atakavyokuwa na influence kwenye nec hii!

ukimtoa Nape, walobakia wote, Eddo ana-influence, which shows kuna zaidi ya 75% ya Eddo kuingia ikulu 2015
Uteuzi wa Nchemba kuwa Naibu Katibu Mkuu umeniacha hoi; Sielewi CCM huwa wanatumia performance indicators gani kumpandisha mtu cheo; Naibu katibu Mkuu wa Chama ni mtu mzito sana na Nchemba ni mtu mwepesi sana kubeba uzito huu; Iwapo CCM ilitaka Kijana ashike nafasi hii na atoke miongoni mwa Vijana waliopo mle tayari, ni bora nafasi hii angepewa Nape au Makamba Junior;
Kama wakuu wa chama walikuwa serious waliposema wanaunda timu ya ushindi kuelekea 2015, nadhani likija suala la kura za vijana, timu hii inaelekea zaidi kuwa timu ya kifo cha chama, sio ushindi, kwani hoja mbovu mbovu za nchemba zitakimbiza vijana wengi zaidi kutoka CCM; CCM isidanganyike na umati mkubwa wa vijana huko vijijini kwenye mikutano yake tena nyakati za kazi kwani umati huu huwa ni mkubwa kwa sababu vijana hawana kazi; Kwahiyo mara nyingine huwa ni outing kwenda kusikiliza vituko vya wanasiasa makujwaani;
Kwa kweli inasikitisha kugundua kwamba utumbo aliokuwa anaufanya Nchemba ambao umekuwa unatufukuzia vijana wengi kutoka CCM, utumbo huu huu umempatia madaraka zaidi ndani ya Chama; Nchemba Naibu wa Kinana? Nani alifanya uamuzi huu? Kweli kazi ipo na ndio maana awali nilisema kwamba mabadiliko yaliyotokea kwenye mwili huu wa CCM ni ya KICHWA, lakini SHINGO ambayo ndio hugeuza kichwa kulia na kushoto imebakia kuwa ni ile ile;
We unamjua kinana unamsikia?subiri uone hao kina Nchemba wako watakavyonyooka,ukweli ni kwamba that was too big for mukama ndio maana ukaona kila mtu akawa mkubwa kwenye sekretariet iliyopita,kuhusu januari kwamba angefaa kuwa naibu katibu wa ccm bara huo ni utani sasa,Januari huyu aliejiunga na ccm mwaka 2004 mwishoni yani awe katibu wa ccm wakati kuna watu wamesota na chama toka enzi za kukimbiza mwenge wa uhuru,wamekimbiza sana mwenge yeye katoka marekani kaja foreign affairs jk kambeba akamsaidie kuandika kwenye kampeni na kubuni slogan isiyotekelezeka ya ari mpya,nguvu mpya,kasi mpya basi itoshe kuwa katibu wa chama bara!Uteuzi wa Nchemba kuwa Naibu Katibu Mkuu umeniacha hoi; Sielewi CCM huwa wanatumia performance indicators gani kumpandisha mtu cheo; Naibu katibu Mkuu wa Chama ni mtu mzito sana na Nchemba ni mtu mwepesi sana kubeba uzito huu; Iwapo CCM ilitaka Kijana ashike nafasi hii na atoke miongoni mwa Vijana waliopo mle tayari, ni bora nafasi hii angepewa Nape au Makamba Junior;
Kama wakuu wa chama walikuwa serious waliposema wanaunda timu ya ushindi kuelekea 2015, nadhani likija suala la kura za vijana, timu hii inaelekea zaidi kuwa timu ya kifo cha chama, sio ushindi, kwani hoja mbovu mbovu za nchemba zitakimbiza vijana wengi zaidi kutoka CCM; CCM isidanganyike na umati mkubwa wa vijana huko vijijini kwenye mikutano yake tena nyakati za kazi kwani umati huu huwa ni mkubwa kwa sababu vijana hawana kazi; Kwahiyo mara nyingine huwa ni outing kwenda kusikiliza vituko vya wanasiasa makujwaani;
Kwa kweli inasikitisha kugundua kwamba utumbo aliokuwa anaufanya Nchemba ambao umekuwa unatufukuzia vijana wengi kutoka CCM, utumbo huu huu umempatia madaraka zaidi ndani ya Chama; Nchemba Naibu wa Kinana? Nani alifanya uamuzi huu? Kweli kazi ipo na ndio maana awali nilisema kwamba mabadiliko yaliyotokea kwenye mwili huu wa CCM ni ya KICHWA, lakini SHINGO ambayo ndio hugeuza kichwa kulia na kushoto imebakia kuwa ni ile ile;
Nani mtu wa lowassa hapo labda wewe unavyodhani?watu wa lowassa wanajulikana na watu wabaya kwa lowassa wanajulikana,ni rahisi kujua serukamba,hamis mngeja,chenge na aina hiyo ni watu wake lakini huwezi kudhani seif hatib,migiro,mwigulu na katibu mkuu eti ni watu wa lowassa,hasa katibu mkuu.ukimtoa Nape, walobakia wote, Eddo ana-influence, which shows kuna zaidi ya 75% ya Eddo kuingia ikulu 2015
Nani mtu wa lowassa hapo labda wewe unavyodhani?watu wa lowassa wanajulikana na watu wabaya kwa lowassa wanajulikana,ni rahisi kujua serukamba,hamis mngeja,chenge na aina hiyo ni watu wake lakini huwezi kudhani seif hatib,migiro,mwigulu na katibu mkuu eti ni watu wa lowassa,hasa katibu mkuu.
We unamjua kinana unamsikia?subiri uone hao kina Nchemba wako watakavyonyooka,ukweli ni kwamba that was too big for mukama ndio maana ukaona kila mtu akawa mkubwa kwenye sekretariet iliyopita,kuhusu januari kwamba angefaa kuwa naibu katibu wa ccm bara huo ni utani sasa,Januari huyu aliejiunga na ccm mwaka 2004 mwishoni yani awe katibu wa ccm wakati kuna watu wamesota na chama toka enzi za kukimbiza mwenge wa uhuru,wamekimbiza sana mwenge yeye katoka marekani kaja foreign affairs jk kambeba akamsaidie kuandika kwenye kampeni na kubuni slogan isiyotekelezeka ya ari mpya,nguvu mpya,kasi mpya basi itoshe kuwa katibu wa chama bara!
Uteuzi wa Nchemba kuwa Naibu Katibu Mkuu umeniacha hoi; Sielewi CCM huwa wanatumia performance indicators gani kumpandisha mtu cheo; Naibu katibu Mkuu wa Chama ni mtu mzito sana na Nchemba ni mtu mwepesi sana kubeba uzito huu; Iwapo CCM ilitaka Kijana ashike nafasi hii na atoke miongoni mwa Vijana waliopo mle tayari, ni bora nafasi hii angepewa Nape au Makamba Junior;
Kama wakuu wa chama walikuwa serious waliposema wanaunda timu ya ushindi kuelekea 2015, nadhani likija suala la kura za vijana, timu hii inaelekea zaidi kuwa timu ya kifo cha chama, sio ushindi, kwani hoja mbovu mbovu za nchemba zitakimbiza vijana wengi zaidi kutoka CCM; CCM isidanganyike na umati mkubwa wa vijana huko vijijini kwenye mikutano yake tena nyakati za kazi kwani umati huu huwa ni mkubwa kwa sababu vijana hawana kazi; Kwahiyo mara nyingine huwa ni outing kwenda kusikiliza vituko vya wanasiasa makujwaani;
Kwa kweli inasikitisha kugundua kwamba utumbo aliokuwa anaufanya Nchemba ambao umekuwa unatufukuzia vijana wengi kutoka CCM, utumbo huu huu umempatia madaraka zaidi ndani ya Chama; Nchemba Naibu wa Kinana? Nani alifanya uamuzi huu? Kweli kazi ipo na ndio maana awali nilisema kwamba mabadiliko yaliyotokea kwenye mwili huu wa CCM ni ya KICHWA, lakini SHINGO ambayo ndio hugeuza kichwa kulia na kushoto imebakia kuwa ni ile ile;
Mkuu wewe ndio umekosea sana.Kwa kweli khs kumu-undermine Mwigulu namna hiyo nafikiri unakosea sana, umechambua vizuri ila hapo umekosea sana kwa sababu huyo bwana anachukiwa na upinzani kwa ajili ya kuwapa vidonge vyao sio kila mtu anaona Mwigulu anaongea pumba, kawasome vizuri wapiga kura kaka.
Mkuu si unajua hivyo vidonge ndio vime iko-cost sana CCM mpaka kupoteza ushindi kule Arumeru Mashariki kisha matokeo ya Igunga kutenguliwa.Kwa kweli khs kumu-undermine Mwigulu namna hiyo nafikiri unakosea sana, umechambua vizuri ila hapo umekosea sana kwa sababu huyo bwana anachukiwa na upinzani kwa ajili ya kuwapa vidonge vyao sio kila mtu anaona Mwigulu anaongea pumba, kawasome vizuri wapiga kura kaka.