HAPA LAZIMA UDATE.....hata ukiwa mgumu vipi

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
836
Reaction score
52
74118_104980729570788_100001765839765_34261_1792519_n.jpg

Mmmmmh jamani hii dunia ingekuwa hakuna kuzeeka wala kufa, ningeomba nikae na huyu kimwana maisha yangu yote tukiwa tuanaburudishana.

lakin hata kuangalia tu ni burudani tosha. Hapa tuko mjini Kigali jamani looo! Hii siyo ya Kibongo. Nilibahatika kuwa huko siku za karibuni, Kigali ni burudani tupu.
 
Duuh kiuno kama nyigu!chochote atakacho nitampa lol!
 
74118_104980729570788_100001765839765_34261_1792519_n.jpg

Mmmmmh jamani hii dunia ingekuwa hakuna kuzeeka wala kufa, ningeomba nikae na huyu kimwana maisha yangu yote tukiwa tuanaburudishana.

lakin hata kuangalia tu ni burudani tosha. Hapa tuko mjini Kigali jamani looo! Hii siyo ya Kibongo. Nilibahatika kuwa huko siku za karibuni, Kigali ni burudani tupu.
Mkuu acha kutufunga kamba wenzio, hii ni collections ya wallpaper mie ninayo kwenye disc fulani ambayo ina collections ya wallpaper kibao!! lol.
 
Mmh! Mbona pozi lake kama amebanwa na tumbo la kuhxxxx alafu dezain fulan kama anatoa ushuz!!!!
 
Mkuu acha kutufunga kamba wenzio, hii ni collections ya wallpaper mie ninayo kwenye disc fulani ambayo ina collections ya wallpaper kibao!! lol.

Na we acha kutufunga kamba huyo mtoto wa kinywarwanda mi namjua kabsa
 
Ahaa kumbe unamjua kabisa safi sana. Tujulishe jina lake, ana umri gani, anaishi mtaa gani, ni kabila gani (mtusi au mhutu), anafanya shughuli gani huko Rwanda, ana kiwango gani cha elimu, kama ameolewa ana mchumba au ni single, ni vitu gani anapendelea kufanya (hobbies). Nadhani ukitupa hizi taarifa tutajua kuwa unamjua kabisa kama unavyodai.
 
74118_104980729570788_100001765839765_34261_1792519_n.jpg

Mmmmmh jamani hii dunia ingekuwa hakuna kuzeeka wala kufa, ningeomba nikae na huyu kimwana maisha yangu yote tukiwa tuanaburudishana.

lakin hata kuangalia tu ni burudani tosha. Hapa tuko mjini Kigali jamani looo! Hii siyo ya Kibongo. Nilibahatika kuwa huko siku za karibuni, Kigali ni burudani tupu.

mpasua jip sio poa bwana kutufunga kamba hapa jamvini.hii picha mi nimeiona toka 2009, net we hyo kigali imemtoa wap sasa huyu mtoto.
 
yah yah, hizo ni injection za silicon, ukipapasa sana kitu inapasuka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom