Hapa Lady Jaydee alimaanisha nini?

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,393
3,234
Waungwana mara nyingi wasanii wanapolalamika dhidi clouds media wengi wao huwa wanamlalamikia Ruge Mutahaba na kumchora kama mtu mbaya na anayewanyonya wasanii. Wengine wameenda mbali zaidi na kusema Ruge ndiye muasisi wa mifumo yote mibovu na ya kinyonyaji iliyopo katika muziki. Rejea Sugu na vinega wake nakadhalika.

Nimejaribu kusoma wosia wa aliowahi kuuandika Lady Jaydee mwaka 2013 kuhusu mgogoro wake na clouds media nikakutana na maneno haya hapa.

"Kila siku mnamsingizia Ruge peke yake Kusaga ni mfitini kuliko hata huyo Ruge, watu hamjui tu.
Mtu hela zote hizo bado shillingi mbili ya Jide inakuuma??
Roho gani hiyo??"

Hapa Lady Jaydee alitaka kusema Kusaga ni mtu mbaya kuliko Ruge? Je Kusaga alimfanyia kitu gani Lady Jaydee hadi akafikia hatua ya kuona bora Ruge kuliko Kusaga?
 
Basi tu jide hana kizazi ila angekua wa kwanza kuzaa na ruge kabla zamaradi.. tena mtoto wangempatia Africa kusini yaani enzi zile wanaenda kwenye Kora awards wanajifungia hotelini wee mpaka tamasha linaisha .. wanarudi bongo wakiulizwa nini kiliendelea wote hawajui.. wametoka mbali hawezi msema vibaya rugge
 
Nmecheka sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Basi tu jide hana kizazi ila angekua wa kwanza kuzaa na ruge kabla zamaradi.. tena mtoto wangempatia Africa kusini yaani enzi zile wanaenda kwenye Kora awards wanajifungia hotelini wee mpaka tamasha linaisha .. wanarudi bongo wakiulizwa nini kiliendelea wote hawajui.. wametoka mbali hawezi msema vibaya rugge
Hahaha
 
jamani.
 
Kuna story flan ya kijiweni kwamba ugomvi jaydee na clouds ni zaidi ya masuala ya kimuziki...kwanza ukicheki vizuri jaydee alikuwa anapewa airtime kubwa sana kipindi kile kuliko wanamuziki wengine...ni issue personal
 
Hao wasanii licha ya kunyonywa lkn angulau wamefanyiwa sanaa yao kuwa ya kupata kipato
Hata hao wakina ruge na kusaga wametoka mbali mpk Kufika hapa
Zamani wasanii walikuwa wakienda kwenye show wanagombania mic wa perform bure wamekuja watu fulani industry ya mziki wakaigeuza kuwa biashara wasanii wanapata visenti ambapo hata zamani hawakutegemea kupata
Ila leo hii shutuma zinazidi wakishapigika kifedha

Ova
 
Kikubwa industry imekua na vijana wengizaidi wanapata ajira basi tunamshukuru Mola.
 
Basi tu jide hana kizazi ila angekua wa kwanza kuzaa na ruge kabla zamaradi.. tena mtoto wangempatia Africa kusini yaani enzi zile wanaenda kwenye Kora awards wanajifungia hotelini wee mpaka tamasha linaisha .. wanarudi bongo wakiulizwa nini kiliendelea wote hawajui.. wametoka mbali hawezi msema vibaya rugge
Nilicheka walipoulizwa nyie sio wapenzi iweje mlale chumba kimoja eti jibu likawa VYUMBA VILIJAA
 
Waungwana mara nyingi wasanii wanapolalamika dhidi clouds media wengi wao huwa wanamlalamikia Ruge Mutahaba na kumchora kama mtu mbaya na anayewanyonya wasanii. Wengine wameenda mbali zaidi na kusema Ruge ndiye muasisi wa mifumo yote mibovu na ya kinyonyaji iliyopo katika muziki. Rejea Sugu na vinega wake nakadhalika.

Nimejaribu kusoma wosia wa aliowahi kuuandika Lady Jaydee mwaka 2013 kuhusu mgogoro wake na clouds media nikakutana na maneno haya hapa.

"Kila siku mnamsingizia Ruge peke yake Kusaga ni mfitini kuliko hata huyo Ruge, watu hamjui tu.
Mtu hela zote hizo bado shillingi mbili ya Jide inakuuma??
Roho gani hiyo??"

Hapa Lady Jaydee alitaka kusema Kusaga ni mtu mbaya kuliko Ruge? Je Kusaga alimfanyia kitu gani Lady Jaydee hadi akafikia hatua ya kuona bora Ruge kuliko Kusaga?
ngoja wambea waje!
 
Basi tu jide hana kizazi ila angekua wa kwanza kuzaa na ruge kabla zamaradi.. tena mtoto wangempatia Africa kusini yaani enzi zile wanaenda kwenye Kora awards wanajifungia hotelini wee mpaka tamasha linaisha .. wanarudi bongo wakiulizwa nini kiliendelea wote hawajui.. wametoka mbali hawezi msema vibaya rugge
ulikua unapiga chabo?
 
Khaaaaa!!!
 
Kikubwa industry imekua na vijana wengizaidi wanapata ajira basi tunamshukuru Mola.

Ukweli ni kwamba akina Kusaga wamewabeba sana wasanii wa bongo. Sema tu binadamu hawana shukurani. Nani angeujua musiki wa Judith? Kama sio clouds tena before walionekana wahuni tu lakini baada ya kupigwa mara nyingi kwenye redio ya Kusaga watu walianza kufuatilia nyimbo za bongofleva. Jay Dee anachonga sana siku hizi na zaidi she is such an arrogant little brat!!!
 
Back
Top Bottom