beny jr
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 822
- 1,133
Hahaha sasa mbona wenye degree wapo weng mtaaaniTena kiswahili na Civics.
Hahaha sasa mbona wenye degree wapo weng mtaaaniTena kiswahili na Civics.
90% ya waratibu wa wizi wa kura za ccm ni walimu mkuu.hawa wanajua kila kilichotokea 2020. Pale yule raisi kichaa aliyekuwa na betri kwenye moyo wake alipora kura.Sekta ya elimu ndio in awatumishi wa uma wenye elimu ya juu kabisa. Kwa mfano kwa shule za sekondari mwalimu mwenye elimu ya chini kabisa ni diploma. Wapo walimu wana Masters na PhD . Lakini cha kushangaza mtendaji wa kata mwenye elimu ya cheti kutoka Hombolo ana mamlaka na hadhi kuliko hawa wasomi waliobobea kwenye masomo yao kama Physics, Mathematics , Biology,Chemistry na n.k .
Kwa macho yangu nikiwa kwenye kikao cha wazazi katika shule moja ya Sekondari. Nilimuona mtendaji wa kata husika akiwachimba mkwara walimu na kuwaambia kuwa yeye ni boss wao kwenye hiyo kata.
nadhani mtoa mada haelewi mifumo ya serikali ilivyo, huyo mwalimu sio kuwa anaonewa , ni suala la hierarchy tuAna madaraka makubwa sema watu wanamchukulia poa
AFISA MTENDAJI WA KATA DARAJA LA II (WARD EXECUTIVE OFFICER GRADE II) – NAFASI 20
1.1 MAJUKUMU YA KAZI
• Atakuwa Mtendaji Mkuu wa Kata na kiungo cha Uongozi kwa Idara zote katika kata na atashughulikia masuala yote ya kata
• Atakuwa Mhamasishaji mkuu wa Umma katika mikakati mbalimbal.i ya uzalishaji,
mali, kuondoa njaa na Umasikini.
• Atakuwa ni Katibu wa kamati ya maendeleo ya kata.
• Ataratibu na kusimamia upangaji wa shughuli za maendeleo ya kata, vijiji na Mtaa.
• Atatafsiri sera na kusimamia utekelezaji wa sheria ndogondogo katika Kata yake.Atamsaidia Mkurugenzi Kuratibu na kusimamia shughuli za Uchaguzi katika Kata.
• Kumsaidia na kumwakilisha Mkurugenzi katika kusimamia maendeleo ya eneo lake.
• Kusimamia utendaji kazi wa wataalamu na watendaji wengine katikangazi ya Kata.
• Kuratibu na kuandaa taarifa za utekelezaji na kuziwasilisha kwa mkurugenzi na nakala kwa Katibu Tarafa.
• Atakuwa mwenyekiti katika vikao vinavyowahusisha wataalamu na watendaji wa vjiji, na NGO’S katika kata yake.
• Atakuwa Msimamizi na mratibu wa takwimu zote zinazokusanywa katika vijiji, vitongoji, na kata yake.
Utendaji wako pia unaweza kufanya ukapandishwa daraja ata kama una diploma. Kumbuka kazi ya utendaji ni zaidi ya elimuKwani watendaji hawana masters? Wapo watendaji wengi tu wana masters.
Hata bwana Yesu alikuwa Mwalimu (Rabi) lakini taaluma yake ilichezewa vivyohivyoSekta ya elimu ndio in awatumishi wa uma wenye elimu ya juu kabisa. Kwa mfano kwa shule za sekondari mwalimu mwenye elimu ya chini kabisa ni diploma. Wapo walimu wana Masters na PhD . Lakini cha kushangaza mtendaji wa kata mwenye elimu ya cheti kutoka Hombolo ana mamlaka na hadhi kuliko hawa wasomi waliobobea kwenye masomo yao kama Physics, Mathematics , Biology,Chemistry na n.k .
Kwa macho yangu nikiwa kwenye kikao cha wazazi katika shule moja ya Sekondari. Nilimuona mtendaji wa kata husika akiwachimba mkwara walimu na kuwaambia kuwa yeye ni boss wao kwenye hiyo kata.
💯nadhani mtoa mada haelewi mifumo ya serikali ilivyo, huyo mwalimu sio kuwa anaonewa , ni suala la hierarchy tu
mwalimu yuko chini ya headmaster wake, headmaster yuko chini ya afisa elimu kata, afisa elimu kata yuko chini ya huyo ward executive officer
😀😀
Kwa kuongezea pia WEO ndo msimamizi mkuu wa ulinzi na usalama ngazi ya kata.
hierarchy gani isiyoheshimu taaluma za watu. Yaani tu mwenye cheti anampiga mkwara mtu mwenye Masters degree.
Tunataka watu waheshimiane kwa kiwango cha taaluma. Mbona wanajeshi wana utaratibu mzuri tu. Kazi anazozifanya Huyo WEO ,hata darasa la saba anaweza kuzifanya. Tatizo hili taifa linapuuza sana wanataaluma , dio maana ujinga ni mwingi.Tatzo ujui majukum ya mtendaji wa kata ndio maana umeandika hvyo.
Acha uongo wewe.Watendaji wote waka wanatakiwa kuwa na degree na karibu wote wanadegree nchi nzima
Mtendaji wa kata/kijiji ndiye kama waziri mkuu wa eneo husika.Mwalimu anafundisha shule yake moja lakini mtendaji kata anafuatilia maendeleo kata nzima yenye taasisi zaidi ya moja,ukitaka utambulisho wa barua za kiserikali ngazi ya kata ni mtendaji kata atakutambulisha na sio mwalimu,sijui ulitaka kumaanisha nini?so mtendaji anamamlaka kiutawala kuliko mwalimu
Issue siyo taaluma.Tunataka watu waheshimiane kwa kiwango cha taaluma. Mbona wanajeshi wana utaratibu mzuri tu. Kazi anazozifanya Huyo WEO ,hata darasa la saba anaweza kuzifanya. Tatizo hili taifa linapuuza sana wanataaluma , dio maana ujinga ni mwingi.
Tatizo sio kiwango cha elimu ulicho nacho issue ni majukumu.Tunataka watu waheshimiane kwa kiwango cha taaluma. Mbona wanajeshi wana utaratibu mzuri tu. Kazi anazozifanya Huyo WEO ,hata darasa la saba anaweza kuzifanya. Tatizo hili taifa linapuuza sana wanataaluma , dio maana ujinga ni mwingi.