Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,442
- 12,709
Tupime macho wakuu, unaona paka wangapi kwenye picha?
Mkuu hivyo vingine ni vitoto vya bundi? 😁😁
Kwahiyo unataka kusemaje? 😎😎😎Alafu tunasema taifa lijitegemee kweli?🙄 Watu wazima tinaambiwa tuhesabu vichwa vya paka🤣🤣
AiseeePaka Wapo 14 + wewe mleta mada wanakua 15
14
Aiseeeeeee1 walio bakia ni bundi maji