Hapa kuna usalama kweli. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapa kuna usalama kweli.

Discussion in 'Jamii Photos' started by jchofachogenda, Jul 5, 2012.

 1. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hata kama ni mwalimu wa mazoezi lakini si kwa style hii,huyu kuna kitu anataka si bure. 124.JPG
   
 2. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
   
 3. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kazi kweli kweli ukikubali unaliwa
   
 4. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Duh! mie hilo litanishinda..
   
 5. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Hahahah, sana hapo si kashika vipochi manyoya, au naona vibaya?:eek:
   
 6. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa hata ukiwa na moyo wa chuma yatakushinda, inataka moyo, ibilisi asikuingie!!
   
 7. B

  BLB JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  namwonea wivu
   
 8. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  pata picha unamtembelea mke wako au mchumba wako mazoezi unakuta kakunjwa hivo uku mwalimu wake akimshika nyeti hivo
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mwenzenu walaaa hana dhamira hiyo bali ni mawazo yenu
   
 10. H

  Henry Philip Senior Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh! alivyowakamata, inaonekana ni kawaida. alafu mbona kama kawapiga dole vile? hebu cheki fresh.KAMA NI MKE WANGU ZOEZI HAENDI TENA, HIVI MASIHARA MJUE? CHEZEYA HILO ENEO WEYE?
   
 11. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Halafu kwani hakuna sehemu nyingine ya kuwashika ili kuwasapoti mpaka hapo kwenye kipochi manyoya jamani.

  Kama ni hivyo na mm nitaanzisha ya kwangu, tena bila kiingilio.
   
Loading...