GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,542
- 108,877
- Thread starter
- #61
Aiseeee mm siwez kukataaa kwetu ila mm kwetu siyo machameeeeeLeo unakukataa Kwenu Mkuu?
Ila ulzaliwa pale A.Chuga ??Mi nimezaliwa mwez wa kumi na tatu .. Naona haupo hapo
Aiseeee mm siwez kukataaa kwetu ila mm kwetu siyo machameeeee
Labda mm na wewe njia moja karagwe nyakahangaa na machame wapi na wapiii
NtajieMwezi wangu
Aah wapi ...Ila ulzaliwa pale A.Chuga ??
Dec babyNtajie
Umetumia nguvu nyingi sana kujibuWewe hebu nitake radhi upesi / haraka sana. Yaani GENTAMYCINE ' Mzanaki ' aliyetukuka kabisa unaweza kumfananisha na hao Washamba / Mambwigira / Mabwiga wa kutoka Mkoani Kagera / Bukoba? Yaani hao Watu wako wa Kagera ( Bukoba ) ujanja wao wote walionao wamefundishwa na Sisi wana Mara ( Musoma ) halafu leo bila aibu kabisa unakuja kunifananisha Mimi na Wao? Mkuu hivi Kwanza umefikiria nini kudhani Mimi natokea huko? Niombe radhi sasa hivi vinginevyo kitakachofuatia Kwako ndiyo utajua ni kwanini Mikoa yote ya Tanzania ukienda unakutana na Kibao kisemacho ' Karibu ' ila ukienda Mkoani Mara ( Musoma ) unakaribishwa na Kibao kimeandika ' Sasa unaingia Mkoani Mara Gangamala na acha Kujilegezalegeza '.
sijazaliwa mwezi huo kabisa,mi ni mwisho wa mwaka...na wewe au umezaliwa mwezi huoo
Pole achana nae wala usimpe nafasi ndani ya moyo wako....alikuwa ni njia ujifunze kitu fulani ktk Maisha...samehe...wala usimchukie...ila amekufundisha kujiamini Zaidi....na kumdharau.Wala hujakoseaa kuna kipindi huwa nataman kumuua x wangu