Hapa kuna ukweli wowote? Tusaidiane tafadhali!

Hapa kuna ukweli wowote? Tusaidiane tafadhali!

Mie wangu sio siri ni May

Hongera Mkuu mie wa Kwangu nilikuwa sijajua ni mwezi gani lakini baada ya alfajiri ya leo kuujua huu ukweli na kugundua kuwa kumbe ni wa mwezi June nimeamua tu kuachana nae mara moja na Mimi sasa nipo katika harakati za Kimchakato na Kimchanyato za Kumtafuta ama aliyezaliwa mwezi May au December japo sijui nina bahati mbaya gani kwani tokea asubuhi nianze Kutongoza hadi mchana huu Wanawake wote ninaowapata nikiwaulizia tu miezi yao ya Kuzaliwa wanasema ni huo huo June. Naona kama vile Shetani yuko upande wangu na labda kuna ' ubaya ' ananitafuta.
 
Hongera Mkuu mie wa Kwangu nilikuwa sijajua ni mwezi gani lakini baada ya alfajiri ya leo kuujua huu ukweli na kugundua kuwa kumbe ni wa mwezi June nimeamua tu kuachana nae mara moja na Mimi sasa nipo katika harakati za Kimchakato na Kimchanyato za Kumtafuta ama aliyezaliwa mwezi May au December japo sijui nina bahati mbaya gani kwani tokea asubuhi nianze Kutongoza hadi mchana huu Wanawake wote ninaowapata nikiwaulizia tu miezi yao ya Kuzaliwa wanasema ni huo huo June. Naona kama vile Shetani yuko upande wangu na labda kuna ' ubaya ' ananitafuta.
Yaani mimi ndie nimezaliwa mwezi May sio mpenzi wangu
 
Shikamoo ' Muuaji '. Vipi una vinasaba na eneo ' takatifu ' la Machame Mkoani Kilimanjaro?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yerewiiiii hata sina lakini

Wengi hupendelea sana kunipa hivyo vinasaba sijajua wanatumia kigezoo gani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yerewiiiii hata sina lakini

Wengi hupendelea sana kunipa hivyo vinasaba sijajua wanatumia kigezoo gani?

Kuna Kigezo kingine zaidi ya Wewe tu ' Sura ' lako kuonekana dhahiri shahiri kuwa una Roho Mbaya na ni Mkatili?
 
Yaani mtu anatunga uzi ujue unahusu nini!lakini mwishoni utaelewa ni dongo mtu anatupiwa.unaweza kukuta uzi unahusu simu lakin mtoa mada mwishoni utajua anarusha jiwe gizani.yaani yaaani
 
Miezi ya Kuzaliwa kwa Watu na tabia zao za ukweli na za asili ambazo 100% zimethibitishwa kuwa ni kweli.

January - Most Wanted
Ukitaka kuwatafuta ' Wasiojulikana ' au Watu wenye ' Maasi ' mengi wengi utawapata mwezi huu.

February - Beautiful
Ni Watu wazuri wazuri hasa katika maisha.

March - Attractive and Charismatic
Ni Watu wenye mvuto na karama fulani ambayo wamejaaliwa na Mwenyezi Mungu na chochote kile wakifanyacho kitakubalika tu huku wakiwa na ushawishi mkubwa na uliotukuka katika maisha. Kama ukiwa umekasirika au umeudhiwa au umeboreka au huna furaha fanya upesi sana kaa karibu na Mtu unayemjua amezaliwa huu Mwezi utafurahi mwenyewe na roho yako. Wachekeshaji wengi wazuri na wenye Vipaji huzaliwa huu Mwezi japo miezi mingine hubahatisha.

April - Faithful
Hapa huwezi kukuta Mtu mwizi au msaliti kwani hawa ni Watu waaminifu mno Kimaisha

May - Caring
Hawa ni Watu ambao wanajua mno Kujali wenzao hasa pale wakigundua fulani hana furaha au amani na huwa hawachoki kumjali Mtu.

June - Player
Kama ikitokea tu unatafuta ' Tapeli ' yoyote aliyetukuka duniani usihangaike sana kwani wengi wao wanapatika katika huu mwezi. Hawa wanaweza wakakutapeli huku Wewe unayetapeliwa ukawa unawachekea na ukiwaamkia Shikamoo. Na hata kama ikitokea tu umeibiwa kitu chochote kile hakikisha ' Suspect ' wako wa Kwanza awe Mtu aliyezaliwa huu Mwezi kwani wana ' Kipaji ' pia cha Uwizi pamoja na mwenzake Udokozi.

July - Loving
Wana Upendo sana kwa Watu wote.

August - Hot
Hapa ndiyo makao makuu ya Watu wenye ' Hasira ' sana na ukiwa nao Watu wa Mwezi huu uwe pia tayari muda wowote Uso wako ' Kuumuka ' kwa Manundu yatokanayo na Ngumi za uhakika.

September - Gorgeous
Kama ukiwa labda unatafuta mwenza wako awe wa Kiume au wa Kike mwenye mvuto zaidi na aliye vizuri Kimapenzi / Kimahaba Kitandani basi usihangaike sana Wewe ' Jipendekeze ' tu au ' Jigongegonge ' kwa waliozaliwa huu mwezi utapata raha na utamu wa Mkuyenge au Mbunye.

October - Lovely
Hawa Watu wana tabia ya Kung'ang'ania Kupenda na usiombe upendwe na Watu waliozaliwa huu Mwezi utajuta kwani wanaupendo ambao baadae hupelekea kuwa ' Kero ' kwa Wewe uliyependwa au aliyekupenda. Na wale wanaojiua sana na Kuumizwa na Mapenzi wengi wao huzaliwa huu Mwezi.

November - Amazing
Hawa ni Watu wenye ' vituko vituko ' sana maishani na usishangae Mtu wa Mwezi huu akakunyooshea ' Bastola ' halafu akakupiga nayo ya ' Ugokoni ' kisha hapo hapo akakuomba radhi huku akiwa analia. Hawa hawaoni hata ' aibu ' Kujamba mbele ya Wakwe zao na wakiulizwa Wewe umejamba akakubali ndiyo. Wana maajabu mengi mno wengi wao ' mishipa ' yao ya haya / aibu ilikatwa wakiwa Wodini wakati wanazaliwa.

December - Genius
Hakuna Watu ambao ni Werevu / Vipanga duniani kama ambao wamezaliwa huu Mwezi na kama Wewe una Mtu aliye karibu nawe hapo aliyezaliwa huu Mwezi halafu hana akili basi jua pengine huyo atakuwa si Binadamu wa kawaida na pengine unakaa hapo na ' Jini ' bila Wewe kujua. Ni Watu wenye upeo mkubwa na hili halina ubishi.

Naomba mirejesho yenu tafadhali juu ya miezi mliyozaliwa ili kuanzia sasa tukiujua Mwezi wako na maandiko yako humu wala tusiwe tunapata ' taabu / shida ' ya Kukutafakari kwani tutawahi tu kuchungulia katika huu ukweli.

Nawasilisha.
Wewe ni upi mwezi wako hapo ili tujue kwanza ni mtu wa aina gani pia.
 
halafu cha kushangaza sasa ... mimi si mwezi huo na sikaribii kabisa. huu ni utafiti usio na ukweli wowote .. unaweza kuangalia aliyetunga ukamuuliza mwezi wake ukakuta ni ule mwezi ambao umependelewa.... sometime hizi huwa tunatumia kuwapatia mademu. mweziwako wewe unakuwa mwezi mzuri sana so akikuuliza birthday yako unamtajia then yeye analinganisha na hapo kwenye takwimu pikwa..unamwona anatabasam maana mwezi wako unasema ni watu wa mafanikio na wanakuja kuwa matajiri wakubwa sana... mwishowe anaishia kuliwa....

Genta, GuDume wanatakiwa wawe kwenye March sio kwa hizi burudani mnazotupa. Na mimi ni mulemule lakini.
 
Kuna Kigezo kingine zaidi ya Wewe tu ' Sura ' lako kuonekana dhahiri shahiri kuwa una Roho Mbaya na ni Mkatili?
Mkuu unazidisha chumvi sasa hapooo aghhh

Roho mbaya tenaa na mkatili [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom