Hapa kuna ukweli wowote? Tusaidiane tafadhali!

Aiseeee mm siwez kukataaa kwetu ila mm kwetu siyo machameeeee

Labda mm na wewe njia moja karagwe nyakahangaa na machame wapi na wapiii

Wewe hebu nitake radhi upesi / haraka sana. Yaani GENTAMYCINE ' Mzanaki ' aliyetukuka kabisa unaweza kumfananisha na hao Washamba / Mambwigira / Mabwiga wa kutoka Mkoani Kagera / Bukoba? Yaani hao Watu wako wa Kagera ( Bukoba ) ujanja wao wote walionao wamefundishwa na Sisi wana Mara ( Musoma ) halafu leo bila aibu kabisa unakuja kunifananisha Mimi na Wao? Mkuu hivi Kwanza umefikiria nini kudhani Mimi natokea huko? Niombe radhi sasa hivi vinginevyo kitakachofuatia Kwako ndiyo utajua ni kwanini Mikoa yote ya Tanzania ukienda unakutana na Kibao kisemacho ' Karibu ' ila ukienda Mkoani Mara ( Musoma ) unakaribishwa na Kibao kimeandika ' Sasa unaingia Mkoani Mara Gangamala na acha Kujilegezalegeza '.
 
Umetumia nguvu nyingi sana kujibu

Mbona mm umenilazimisha wa machame na wakat siyo wa machamee haya tuombane radhi woteee
 
Wala hujakoseaa kuna kipindi huwa nataman kumuua x wangu
Pole achana nae wala usimpe nafasi ndani ya moyo wako....alikuwa ni njia ujifunze kitu fulani ktk Maisha...samehe...wala usimchukie...ila amekufundisha kujiamini Zaidi....na kumdharau.
 
Back
Top Bottom