Hapa kuna kuchepuka kweli? Wake wanne

Hapa kuna kuchepuka kweli? Wake wanne

Roho yake ameiweka rehani huyo..sasa sijui mshahara wa mwezi anakabidhi kwa nani hapo hah hah
 
Ukioa mke wa pili sikukatazi, ila ujue kama kuna kitu siridhiki kwako ntakitafuta kwa walio nacho. Maana ulioa kuridhika na mi sitojibana kama kipo somewhere.
 
Back
Top Bottom