Hapa kuna kuchepuka kweli? Wake wanne

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,609
6,827
Bwana mmoja huko Afrika Kusini ana wake wanne. Sio tu kuwa na idadi hiyo, bali picha zinaonyesha wamama watakuwa na uzito wa juu. Je, inawezekana kuchepuka kweli hapa?

One man, four wives: The new hit reality TV show - BBC News

_96323475_e998c179-b913-4feb-b897-9c17507df7f3.jpg


Source: BBC
 
Mh kwa mizigo hyo kama kweli atakua anaipga vile inavotakiwa sidhani kama atakua na tamaa ya kutaka kuchepuka


Mi nshawahi kuwa na tandamu hilo ilikua in shidaaaa ikitokea kawiki umefululiza lazima mwili utauskia unakua kama unamaumivu ya ndani kwa ndani
 
Back
Top Bottom