Uliwahi kuacha pesa na kila kitu kipo yaani kama ya dharura ukaikuta yaani haijatumika? UTABIDI UENDE KWA MGANGA. KIENDACHO KWA MGANGA HAKIRU HAKIRUDI.Sio lazima, ila inapendeza kuwa na hela ya dharula.
Kiasi gani? Hapo inategemea na kipato chenu/chako.....
Kwani ukiacha isipotumika? Kesho una haja ya kuacha tena?