nimekusoma vizuri sana una haraka sana na kuolewa hili ndilo tatizo lako kubwa ambalo usipo angalia yawezekana ukaachana na mwenza wako. dada jiamini ili akuamini na usiogope kutoa hisia zako kwake unajuwa watu wengi sana huacha kujenga msingi wa mapenzi na kukimbilia kuezeka, ndowa ni kuezeka,kama unampenda endelea na imani hiyo utaona mafanikio atakupeleka kwake hata kwao utaenda na mpango wa ndowa utauna. kuwa mwangalifu kwa kila hatua unayopiga nakutakia siku njema.