dada yangu kwan kwake anaishi na wazazi wake kiasi akikupeleka atakuwa amekupeleka kwa wazazi?kama ndio hata akuonyeshe basi kwa mbali upaone angalau..mhh huyu ameshakwambia uchukulie km mnastareheshana sasa unasubiri nini kwake km unataka ndoa??kuwa serious na maisha yako..mtafute mtu sahihi kwa mtazamo wangu huyu hakuna kitu...
Haishi na wazazi wake. Amenielekeza tuu kwamba ukitaka kufika kwangu unashukia kituo flani ukiuliza tu madreva taxi au boda boda watakufikisha. Ila mi naona si ustaarabu kum surprise mtu napenda anipeleke yeye akiwa willing sitaki kumlazimisha.
na pia hujaelewa jibu....suluhisho hapa sio mimi kutoa au kutokutoa uroda.....ni hivi.... amazon dia....kuna wanaume wanyenyekevu sana kabla hajakumega.....hiyo kupima sio ishu.....shida yake akishakupata ndo ntolee......stuka....
nenda tena usiku
jifanye una dharura
Naogopa nisije nikakuta bibie katinga akanipa kichapo bure akaniharibu Reception.
ukweli unaona kumbe?
unaogopa kuu face sio?
BUT still miezi mitatu ni mapema mno kumlazimisha mtu alete posa au a behave like husband to be..
mwache akusome kwanza
au tafuta mwenye 'deperation ya ndoa' kama wewe
mpe mtihani mmoja tu
no sex untill ujue anaishi wapi
hapo utapata jibu
Miezi mitatu ni michache mno! Kwani unakimbilia wapi?Habari zenu wana MMU?
Mimi ni dada ambaye nimepata mpenzi kama miezi mitatu hivi imepita. Kitu kinachonifanya niombe ushauri wenu ni kwamba, huyu kaka kwanza mawasiliano yake sio mazuri ni mpaka nimuanze na hata nikimtext anachukua kama masaa mawili ndio anajibu meseji.. Anajitetea kwamba yuko bize sana. Anapafahamu ninapoishi na huwa anakuja kunitembelea lakini ninapomwambia anipeleke kwake anasema atanipeleka kwa sasa ni mapema mno kufanya hivyo.
Kitu kingine nilipomueleza kwamba mimi niko serious na huu uhusiano, akaniambia kwa nini tusichukulie kama tuu tunastareheshana isitoshe tuna muda mfupi tangu tumeanza hivyo tusiji commit mapema! Na akanieleza nisipende sana mambo ya kuolewa kama vipi tuzae tu.
Napata wasiwasi na huyu kaka kama kweli ana mpango na mimi. Naombeni ushauri wenu maana nimeshaanza kukata tamaa..
Miezi mitatu ni michache mno! Kwani unakimbilia wapi?
teh teh teh teh!!!! kamwambie wifi mkapime aongeze upendo!!aisee kumbe kupima afya siku hizi dili sana?
nitaanza na mimi hii style lol
jamani amazon nshakuona umepoteza imani juu ya hubby wako! ucfanye hvyo kheri uwe half half ili upate muda wa kumchunguza vizuri coz naamini unampenda sana!! kwel kwa mtazamo wa juujuu anaonekana hafai hata robo but on other side kila mtu ana hulka yake!! vitu ambavyo wewe unaviona ni vkubwa sembuse kwake yeye anaviona vdogo kama nukta!! cha muhim mwambie malego yako yote pia mwambie yapi anayoyafanya we huyapendi tuone atajibuje! pia usimuoneshe kama umekufa umeoza juu yake!! ana majibu machafu mbele ya mtu anaemuheshm na kumpenda kwa dhat! cjui kwa nini anajiamini hvyoo! anapoteza uaminifu kwa kwel na kwa sababu hyo usikubali auchezee mwili wako!! kama alivyoona ni mapema kukupeleka kwake bas mjulishe kwamba nimapema sana kufanya anayoyataka!!
Kupitia kwako mengi... then you should not push harder, hakuna time limit ya mahusiano kutaka kuingia ktk ndoa. Watu wanaweza kukutana within a week na kukubaliana kuingia katika ndoa kwa muda huo wa wiki, ninachosema isionekane wewe ndiye unatoa msukumo kutaka kuingia katika ndoa, kuoana it's between you two, sio nguvu za upande mmoja. Kama umepitia mengi hayo yalikuwa mambo yako...Nimepitia mengi hivyo naogopa isije kuwa napoteza muda wangu maana naona kama hasomeki vizuri. Sasa miezi mingapi ndio inafaa kwa yeye kunipeleka kwake? Nahitaji assurance mapema.
kwani kinahusika na commitment?
we wote ukliowahi kuwagaia illikuwa ni commitment?
hujawahi kugawa for pleasure?
hivi kumbe kipapa kigawiwa pasi focus siku hii eeh!
to me nirahs kumjua kama man is with you or not manake ukimpa akakuanzia pozi waweza kugundua kuwa hakupata alichotarajia kutoka kwako.