Hapa kazi tuu: mwaka wa tabu

Hapa kazi tuu: mwaka wa tabu

nimekukubali mhemimiwa sumaye mfano bora wa kuigwa viva lowassa
 
Hii tabia ya kusajili kadi elfu tano kwasiku za ccm na kupiga nazo picha lazima ikomeshwe.
 
Kweli watanzania mwaka huu wa uchaguzi wameburudika sana na matamasha ya bure ya fiesta kutoka kwa chama tawala. Badala ya kusubiri matamasha ya Kilimanjaro na Serengeti fiesta ambapo wanalipia kuanzia buku tano hadi kumi. Imekuwa ni bure kabisa na bado unasafirishwa kwenda kwenye matamasha. Huko kwenye matamasha wamefanikiwa kuwaona akina diamond, wema, ze comedy, mr blue, mwanafa, khadija kopa na wasanii wengine wa fani ya kupiga push up kama mapadlock. Hata kama ni mimi lazima ningekwenda kuwaona kwani burudani inaondoa stress. Sasa waTz mmepunguza stress kwa kuwaona wasanii na watoa burudani za push ups kilishobaki ni kuondoa stress kabisa kwa kuikataa CCM. Peeeeeeeoooooooooooooooooples!
 
Magufuli kila wakati anaapa mungu utafikiri sio mkristu usiape bure jina la muumba wako pombe hizi.
 
hahahah shikamoo mkuu

Kawakama mie sio mjuzi wa kutukana...we sema yote tunakana unavyoweza maana unaweza lakini Maria Sarungi ni mtoto wa professor Sarungi... She is a good friend of mine... I know her more than you can imagine...hata kwake Oysterbay...mume wake sasa unaponirushia matusi haikusaidii...ukitaka na namba yake ya simu naweza kukupa... Ila Nakushukuru kwa yote.
 
Haa siasa bwana! Leo hii ndio imekua hivyo mr? Ulivyokua unapokea za upande wapiliii!!
 
Back
Top Bottom