Hapa kazi tuu: mwaka wa tabu

Hapa kazi tuu: mwaka wa tabu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,980
Reaction score
831,550
1443017902825.jpg View attachment 290398
 
Kweli kazi tu push up tumuachie magufuli,baada ya 25 oct lazima azichape na mkwere
 
Wamejimaliza wenyewe kwa kukaidi onyo alilowapa Kakobe. Wangetii, hali ingelikuwa tofauti sana. Lakini sasa wanaendelea kumegeka megeka na hadi 25 mwezi ujao, watakuwa hakuna kundi linalosikilizana tena. Ukombozi wa Tanzania sasa tayari.
 
hii collabo ya lowassa na sumaye deserves grammy, ingekuwa ni ngoma ingeuza platinum tano!
 
Agenda ya kurudisha watu kundini mmeisahau sana Makamanda.

Kila mkutano ni muhimu kurudisha watu kundini;
KUPOKEA KADI ZA WALIOJITAMBUA.
 
Lowasa kawafika kunako tulieni ka sindano kawaingieee
 
Yeah, sema nini! mategemeo yetu tumeweka zaidi kwenye sanduku la kura, mengine tumewaachia magamba ikiwemo la push ups!
 
Yeah, sema nini! mategemeo yetu tumeweka zaidi kwenye sanduku la kura, mengine tumewaachia magamba ikiwemo la push ups!

CCM wanatugilibu kwa kununua kadi za Wapinzani na kujirudishia wenyewe ili kughilibu watu kuwa wanachama wanaondoka.

Ni vyema basi UKAWA ikawajibu wa vitu original.
 
Tunahitaji kuijenga upya ccm tuirudishe kwenye maadili,kwahiyo kard zetu hatuwapi ila kura tutampa lowasa,kiongozi tulio mkubali toka akiwa huku,
 
1443022797193.jpg picha ya kumbukumbu bora
 
hii collabo ya lowassa na sumaye deserves grammy, ingekuwa ni ngoma ingeuza platinum tano!

Nakwambia hivi, ikitokea katika usajili dirisha dogo Ukawa wakamsajili McMwandosa,hii timu haitakamatika asilani.
 
hii collabo ya lowassa na sumaye deserves grammy, ingekuwa ni ngoma ingeuza platinum tano!

Nakwambia hivi, ikitokea katika usajili dirisha dogo Ukawa wakamsajili McMwandosya,hii timu haitakamatika asilani.
 
Raha sana nimefarijika sana huku mtaani kwetu natembea kifua mbele yani kwa uhakika wa ushindi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom