Magufuli inabidi atembelee migahawa yote inayouza chakula kati ya saa 2 asubuhi mpaka saa 6 mchana na saa 8 mchana mpaka saa kumi. Hawa wanakiuka mida ya kazi kwa kuuza chakula na kuwafanya watu waache kazi na kwenda kula mida hiyo. Tuheshimu mida ya kazi
#HapaKaziTu