Hapa Kazi Tu..

hawa ndo wakushika nakuadabisha mda wa kazi huo anafanya mambo gan.akilewa na gun anaweza jeruhi watu bila sababu.
 
ila pombe ikizidi ni mbaya but ukitupiamo vi kil vitatu unaweza ukafanya maamuzi ya busara kuliko yule ambae hajatoa lock asikwambie ukutane na njagu yuko stimu ukimshtukia mnaenda sawa mpaka raha maana akikuazia na we ukikaza anakuwa mpole... wacha ale vyombo tena inaonekama muda huo hapo wametoka kuwatimua wacheza pool:D
 
Back
Top Bottom