Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 18,661
- 13,487
tunaelekea kaanani
Na ni wachache tutafika maana naona wengi wamekata tamaa
tunaelekea kaanani
hata nchi zinazoongozwa ki dikiteta watumishi wa umma wanapewa likizo.
Haaa huyo uliyemtaja anaingiaje hapa? Kichwa chako kiko kwenye autopilot?
Inaonekana hukuwepo enzi za mkoloni!mnyama haendi bila Fimbo, HAPa KAZI TU.....
Kipindi cha mpito tu. . . .. Jasho kidogo livuje ili tusitoke damu mbele ya safari
Sheria na Wajibu huenda pamoja.
Ukichelewa kazini na nikikufukuza kazi siyo ditatorship - nimekufukuza kazi kwa sababu umechelewa kazini!!
Na ni wachache tutafika maana naona wengi wamekata tamaa
Sheria na Wajibu huenda pamoja.
Ukichelewa kazini na nikikufukuza kazi siyo ditatorship - nimekufukuza kazi kwa sababu umechelewa kazini!!
Zipo muda mrefu na zimekuwa zikifuatwa
Mzee Tupatupa