Hapa kazi tu: Tutalia na kusaga meno, a short time to come

Unatakiwa kuonywa nadhani mara mbili au tatu tena kwa maandishi na kwa mdomo kabla ya kufika huko kwenye kufukuzana.

Mkuu una argue na mtu ambaye huenda yuko kwenye ajira isiyo Rasmi hivyo lazima aone kila kitu ni sawa tu.
 
Nchi zinapiga hatua kwa kupitia kumwaga damu. Kinachofanyika hapa ni kuweka mambo sawa kuzuia ambalo lingeweza kuzidi kupotosha nchi pengine kutuelekeza huko.

Tuunge mkono hizi juhudi, wakati wa siasa umepita mambo yatakaa sawa. Ufahamu wa watu utarudi na kila mtu atawajibika katika nafasi yake.

Hapa kazi tu. Piga Mwendo watawala.
Unasomeka. . .. .lazima wachache waumie kidogo ili mambo ikae saww

Kanyaga twende
 
Kwa hali iliyokuwa bora raisi awe mkali mambo yaende, Tena anapaswa kutumia mkono wa chuma....
 
Halaf mleta mada unajiiita mzee wa lumumba. Lumumba gani hii? au ndo wale wanafiki wa CCM ambao JPM aliahidi kuwaondoa?. Acha anafiki wewe. Rais wetu JPM anafanya yaliyo sahihi kabisa nchi hii ilikosa kabisa nidhamu enzi za JK.
 
Watumishi wa umma wanachelewa sehemu ya kazi kwa saa tatu,wanaswekwa rumande. Wananchi wanashangilia. Wanapongeza wakiwa na makengeza ya kuona ukiukwaji wa Sheria. Watumishi wa umma wanakamatwa kwa amri za viongozi wa kitaifa. Wananchi wanapiga makofi.

Watumishi wa umma wanafutiwa likizo zao za mwaka na wakuu wao wa kazi,Wananchi wanashangilia na kupongeza. Wakosoaji wanachukiwa na kudhihakiwa. Nchi sasa inaongozwa kwa amri na kuacha pembeni Sheria,taratibu na kanuni za utumishi,na hata makosa ya jinai.

Surely,we are making a dictatorial regime.We plant a painful seed. It is just a matter of time. Kwakuwa tutakapoanza kulia tutalia wote,nani atatubembeleza? Hapa kazi tu itatuponza!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kuna machache nakuunga mkono ila yaliyo mengi umeongea vapour!.Inawezekana na wewe ni moja wa watumishi waliokuwa wamezoea kuitafuna nchi hii.Sasa unalalamika.Tulieni!Watumishi walijiona miungu watu na wengine kutumia jina la familia fulani kupora na kutolipa kodi stahiki.Mimi naamini ktk rule of law lakini utawala wa sheria huohuo umetufikisha hapa tulipo.
 
Zipo muda mrefu na zimekuwa zikifuatwa

Mzee Tupatupa

Na matokeo yake vipi yaliweza kuisaidia nchi mpaka sahivi? je kuna haja ya kuendelea na hiyo approach?
Wewe umebaki kujidharirisha tu hapa jamvini, mafisadi wamekuponza sana.
 
HIVI WEE JAMAA NI MTETEZI WA NINI?, maana ukweli ni kwamba sio mdau wa maendeleo. Tumekuwa hapo unapotaka tuwe kwa miaka 10, hamna kilichofanyika. Kubali tu kuwa Lowassa sio rais na hatokuwa rais wa JMT.
Mara kwa mara unaanzisha uzi zisizo na uelewa wa mambo!
Mkuu leo hii wewe ndo unaye sema kuwa hakuna kilicho fanyika kwa miaka kumi!!!!
 
Watumishi wa umma wanachelewa sehemu ya kazi kwa saa tatu,wanaswekwa rumande. Wananchi wanashangilia. Wanapongeza wakiwa na makengeza ya kuona ukiukwaji wa Sheria. Watumishi wa umma wanakamatwa kwa amri za viongozi wa kitaifa. Wananchi wanapiga makofi.

Watumishi wa umma wanafutiwa likizo zao za mwaka na wakuu wao wa kazi,Wananchi wanashangilia na kupongeza. Wakosoaji wanachukiwa na kudhihakiwa. Nchi sasa inaongozwa kwa amri na kuacha pembeni Sheria,taratibu na kanuni za utumishi,na hata makosa ya jinai.

Surely,we are making a dictatorial regime.We plant a painful seed. It is just a matter of time. Kwakuwa tutakapoanza kulia tutalia wote,nani atatubembeleza? Hapa kazi tu itatuponza!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Haaa huyo uliyemtaja anaingiaje hapa? Kichwa chako kiko kwenye autopilot?

Eti walikuwa wanamshangilia sasa wanaanza kununa, na waliokuwa hawaamini kuwa ataweza shinda mfumo wa CCM sasa ndo wanamshangilia.
 
Duh mbona mapema sana, tunamtaka mtu kama huyo tuheshimiane kidogo maana nchi ilikuwa kama imekufa vile, after 10 yrs mtaendelea kula bata

Cha kushangaza propaganda machine za Chadema ndio zimeanza kulalamikia kasi ya Magufuli wakati ni moja ya vitu tulivyolilia muda mrefu ...hii nchi inataka ubabe kuirudisha kwenye mstari ....ukisubiri hizo sheria zirekebishwa na blah blah zingine tutabaki hapa hapa ...
 
Kama JPM ana uchungu na nchi hii, kama ana nia ya dhati ya kuwakomboa watanzania, kama anafanya kazi kwa maslahi ya Taifa, basi sioni ubaya wowote hata kama kiasi fulani ataonekana ana-dictate. Tanzania kwa hapa tulipofika tunahitaji mchaka-mchaka na siyo bla-bla za michakato ya semina endelevu na upuuzi mwingi aariiiiiii SEREMA
 
Hawa wa mikoani/ wilayani naona wanajipendekeza tu na kwa kufanya hivyo ndo wanajiharibia zaidi
 
Watumishi wa umma wanafutiwa likizo zao za mwaka na wakuu wao wa kazi,Wananchi wanashangilia na kupongeza. Wakosoaji wanachukiwa na kudhihakiwa. Nchi sasa inaongozwa kwa amri na kuacha pembeni Sheria,taratibu na kanuni za utumishi,na hata makosa ya jinai.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Amos Makalla ~ "Likizo ni ya kila mtu, mtumishi yeyote..Agizo langu ni kwa kila mtumishi. Lakini ujue kuna ubinadamu, huwezi kusema unaumwa, unauguliwa mtoto au umefiwa (halafu tukunyime likizo). Lazima ujue kuna sheria, kanuni, utaratibu na ubinadamu na busara"

Sijaona udikteta katika hili.

Tunataka maendeleo bila ya kuyagharamikia, tutafika?
Kuna mambo yanatakiwa yafanyiwe kazi kwa haraka na ili kufanikisha hilo lazima wachache waumie kwa maslahi ya wengi.
 
Mie mtu akithubutu kinipiga kofi eti nimechelewa kazini nadhani dunia nzima itanifahamu siku hiyo. Nasubiri mtu akurupukie kwangu ili nawengne wapone.
Siungi mkono uzembe lakini napinga udhalilishaji.
 
Back
Top Bottom