Hapa kazi tu: Najitolea kufanya kazi bila malipo

fredj2

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
235
93
Habari zenu wakuu

Nataka kupata uzoefu mbalimbali katika shughuli za kiuchumi kwenye Makampuni au ofisi binafsi. Nikipata short training i will do.

Kazi nilizopitia ni kinyozi, cashier. Elimu yangu ni ya kidato cha nne.\

Weka namba nikutafute, kwa Dar tu.
 
ntaishi kama navoishi kwa sasa toa fikra za kuibiwa
 
Back
Top Bottom