Sasa kama mmezaliwa tumbo moja na nimwanacha hapa jf na anatumia jina bandia "mfano"miss chagga na wewe ni Nokia83 hujamtongoza tu!
Nani kakudanganya tumbo moja hamna connection?
Hapa mjini namjuwa mzee anakula mtoto wake wa kumzaa sembuse dada tena hapa jf na majina feki
Mkuu charty ni mke wangu mimi dada zangu ID zao nazijuwa so huwa nawapisha sana
Mbinde ni kwako unavyopenda kurukia rukia mademu na kuwatongoza fanya utafiti usije kuta yule wa kibantu ni dada yako hahaha na ulivyokuwa unalilia lile penzi sungura1980 unatisha
Ukiwa na dada yako na hujui hata kama ni member humu au id yake ni ipi basi mna tatizo...