Hapa JF kuna mwanamke aliyekamilika kwa uzuri kama huyu?

Unajua sijaridhishwa na uzuri ila macho yakapita na kuiona baiskeli haina break ndio nikaanza kuangalia magoti haya yatakavyo kuwa kwenye mteremko huko mbele

Unaambiwa wewe mwekee mswahili picha halafu subiri hadithi kamili
Basi, jamaa kamsaidia hakuna majeruhi hii ni plan B
We jamaa kiboko,mpk brake umeona daaah! Nadhani unaweza kutuambia hata rangi ya kufuli la huyo mdada au hajavaa kabisa?
 
Unajua unapoangalia picha jaribu kuangalia kila kitu, kwani kuna picha zingine zina maana tofauti na aliyeiweka tofauti na aliyepiga.
Ingawa hata mpiga picha nae akawa ana dhamira ya kupiga kitu na kwenye picha vikaonekana vingine kabisa.

Hapo inaonekana huyo jamaa hamjui ila kaamua kumuongezea na vitunguu na viazi
Ndio maana kaamua kumfukuzia na huo mfuko.
Yeye ndio angetuambia kaona nini huko chini wakati anamuuzia mchicha huo.

Maana sio kwa mbio hizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom