Hapa JF kuna mwanamke aliyekamilika kwa uzuri kama huyu?

Hapana mi sio dhaifu kwa mtu yoyote hapa duniani.

Sema hapo nilikua namrizisha ajione na yeye ana thamani yani ajione ni thinker mbele ya great thinkers!
Mimi kama mwenyekiti wa chama cha wanaume nakupa yellow card! Usirudie tena! Kama umelianzisha kwa mwanamke komaa mpaka uibuke kidedea,sio kwa mfano unaingia home kwa biti kubwaa oya pika chakulaaa nilee!! Akikujib kwani me hausgel wako unaanza kunywea bas nisamehe mke wng,
 
Imesemekana wanawake wa jf ni wazee,!? mimi ni KE pia. Well hapo zamani enzi za ujana wangu, baba Na mama wakigombana baba huwa anatoka nje au ananyamaza kulinda heshma yake Kama mwanaume... Kujibizana Na mwanamke ni kujikosea heshima binafsi Na kwa jamii inayokuzunguka pia. Kwani ukinyamaza utapitwa Na nini we kijana!!! Mana kila nikisCrol down replies umo. Pumzika basi.
hapa utajibiwa tuuu...usijibiwe kwani uanamke ni ulemavu?? nipumzike kwani umenichosha kwa lipi? ati nikinyamazwa ntapitwa na nn..wewe ukiongea hupitwi na kitu? tulia hivyo hivyo...usianzishe ligi
 
Imesemekana wanawake wa jf ni wazee,!? mimi ni KE pia. Well hapo zamani enzi za ujana wangu, baba Na mama wakigombana baba huwa anatoka nje au ananyamaza kulinda heshma yake Kama mwanaume... Kujibizana Na mwanamke ni kujikosea heshima binafsi Na kwa jamii inayokuzunguka pia. Kwani ukinyamaza utapitwa Na nini we kijana!!! Mana kila nikisCrol down replies umo. Pumzika basi.
Nimekuelewa
 
Mimi kama mwenyekiti wa chama cha wanaume nakupa yellow card! Usirudie tena! Kama umelianzisha kwa mwanamke komaa mpaka uibuke kidedea,sio kwa mfano unaingia home kwa biti kubwaa oya pika chakulaaa nilee!! Akikujib kwani me hausgel wako unaanza kunywea bas nisamehe mke wng,
Haha sawa mkuu sitarudia tena ilo kosa la kiufundi.
No retreat. No surrender
 
Imesemekana wanawake wa jf ni wazee,!? mimi ni KE pia. Well hapo zamani enzi za ujana wangu, baba Na mama wakigombana baba huwa anatoka nje au ananyamaza kulinda heshma yake Kama mwanaume... Kujibizana Na mwanamke ni kujikosea heshima binafsi Na kwa jamii inayokuzunguka pia. Kwani ukinyamaza utapitwa Na nini we kijana!!! Mana kila nikisCrol down replies umo. Pumzika basi.
Hahahahahahaah nakojooooooaaaaaaaaaaaaaa
 
Mimi kama mwenyekiti wa chama cha wanaume nakupa yellow card! Usirudie tena! Kama umelianzisha kwa mwanamke komaa mpaka uibuke kidedea,sio kwa mfano unaingia home kwa biti kubwaa oya pika chakulaaa nilee!! Akikujib kwani me hausgel wako unaanza kunywea bas nisamehe mke wng,
Kwa hiyo tumemzidiii eti
 
Yani asiniulize tu kwa sababu nna wivuu.
Atulizane kabisa ila ajue kuwa JF kuna watoto hatari sana wazuri kuliko wale anaowaona kule kwenye porn hub. Wale kule wanakaa kabisa tulii.
Kheriii atakufaa anasema eti we nami ni id moja,atuacheew sie wazuri kama malaika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom