Hapa JF kuna mwanamke aliyekamilika kwa uzuri kama huyu?

Hivi mnatufikiriaje wanawake wa JF kwamba sisi ni wabaya sana au?

Wapo wazuri zaidi ya huyo, sijawahi kuwaona ila naamini hivyo sababu hapa ni kama mtaani kuna wazuri pia.
Tunashindwa kuwatathmini, Tunashindwa kuwathamini, Tunashindwa kuwapa credit kwa maana avatar ni feki.
Samahani, Kuna mkuu wa KE anayetumia avatar yake ya kweli humu!?!!
 
IMG_8964.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom