Hapa hatuna wabunge, tuna wanachama

Hapa hatuna wabunge, tuna wanachama

Samiaagain2025

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
4,486
Reaction score
4,875
Ndiyo,

Mkutano wa pili na wa mwanzo kabisa wa mwaka, hakuna hoja za muhimu kwa wananchi zilizojadiliwa na wabunge wa JMT.

Badala yake hoja kubwa ni kumuongezea muda wa urais Mh Rais Magufuli. Kuna hoja nyingi za msingi kama:
  • Tahadhari dhidi ya korona
  • Ukosefu wa ajira kwa vijana
  • Deni la taifa
  • Upungufu wa vyumba vya madarasa
  • Huduma duni za afya
  • Katiba mpya n.k
Zote hizi hawaziongelei.

Kwa hiyo ni dhahiri kuwa tuna wanachama wa chama fulani tu ila hatuna wabunge. Tubadili katiba ili hata tuwe na wabunge 20 tu walioko makini, si hawa mamia halafu ni sifuri.
 
Deni La Taifa Ni Himilivu
Ccm Mbele Kwa Mbele
 
Back
Top Bottom