Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,379
Unaendesha gari gani...........?
wachumba ndio nyie, ashindwe mwenyewe, ishu za gx 100 na vitz akatongozee kijijini kwao.
Unaendesha gari gani...........?
Weka Cv yako hapa ujipatie mke sasa hivi, kazi yako, elimu n.k!!!!!!!!
usijali, so far so goooooooooooooooooooood!!!!!!!!!!!!!!!wewe umeshapata? muwe mnatupa feedback basi jamani wenzenu tuliosaidia kuhamasisha.
Natafuta mchumba, umri unaenda....We Evelyn wapi tena huko, nilidhani umetoka ndio maana hujibu kumbe upo unatafuta mchumba!
mi mwenyewe natafuta mume ila wewe utanipa shida unavyoelekea
Natafuta mchumba, umri unaenda....