SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,953
- 2,044
- Thread starter
-
- #21
we kilaza kumbuka silaha za isis zilitoka hukohuko kwa hao amerika na wenzie kipindi cha gadafi na sadam. Kushabikia usa inaitaji uwe chizi kidogo
Mbona humtaji muislamu mwenzako IRan na Saudi Arabia ambao hufinance Boko Haram, na ISIS? usiichukie marekani kwa sababu ni Taifa la nguvu la kikristo.
rafki mnafiki hapa duniani ni mwanamke, marekani tunamsingizia tu.
Akiwemo na mamaako?!
Amani ya dunia haitapatikana mpaka siku Marekani na mpwa wake israel watakapo futika ndani ya ulimwengu huu....
amani ya dunia haitapatikana mpaka siku marekani na mpwa wake israel watakapo futika ndani ya ulimwengu huu....
utasubiri sana aiseee....yaani sanaaaaaaaAmani ya dunia haitapatikana mpaka siku Marekani na mpwa wake israel watakapo futika ndani ya ulimwengu huu....
we kilaza kumbuka silaha za isis zilitoka hukohuko kwa hao amerika na wenzie kipindi cha gadafi na sadam. Kushabikia usa inaitaji uwe chizi kidogo
Waarabu wajinga kweli wanapigana wao wanasingizia Marekani sasa kama wamegundua marekani inawachonganisha si washituke.? hawa watu WAARABU wapuuzi kwel kwel.
naona umeamua kuweka akili zako mfukoni.........then akili za mfukoni ukazileta jamii forums na ukasahau jamii forums sio nyumbani kwako.
Waarabu ndiyo chanzo cha matatizo makubwa hapa DUNIANI maana UGAIDI ni wao KUJITOA MHANGA ni wao mauaji ya watu wasio na hatia ni wao tu,ALQUIDA,ALSHABAB,BOKO-HARAM,ISIL na vikundi vingine vinavyoua watu huko IRAQ na SYRIA ni wao na wanajulikana na kila mtu lakini kuna watu wengine wanadai eti ni MAREKANI na wanaoebeza habari hizi ni hao hao WAARABU.
mkuu heri umemjibu huyu jamaa.Mimi ni mkristo ila nafahamu america walivyo sio marafiki wa kweli huo ni ukwel ambao huitaj kuwa muislamu kuona
mkuu umetoka nje ya mada
Inabidi uwe na ubongo wenye afya na akili inayofanya kazi bara bara kuutambua unafiki wa MAREKANI na vibaraka wake...lakini kwa akili za kucopy na kupaste kwenye mitandao huwezi kujua....kwani media nyingi zipo chini yao...na wanapanga habari itoke na ipi iminywe......
THINK BIG, GET KNOWLEDGE...
Kwanza nani aliyekuuliza DINI yako??????Unajishebedua na kujiita wewe ni MKRISTO kumbuka DINI ni yako sisi haitusaidii.
Umenena kweliAmani ya dunia haitapatikana mpaka siku Marekani na mpwa wake israel watakapo futika ndani ya ulimwengu huu....