Hapa duniani rafiki mnafiki ni Marekani

Hapa duniani rafiki mnafiki ni Marekani

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
2,947
Reaction score
2,033
Wakuu hapo kati kati rais wa Syria alilaumiwa sana kwa kuwaua raia wake kwa silaha za kemikali mataifa makubwa sana sana marekani yalimshambulia huyu rais.

Leo mMarekani amesahau yote hayo anataka kuungnisha nguvu na Syria inayoua raia wake kwa kemikali kama wakubwa mlivyodai awali wawasambaratishe Isis.Huu ni unafiki rais wa syria usikubaliane nao.
 
True kaka, Marekani ndio chanzo cha machafuko yote duniani. Ni taifa la kinafiki kabisa.
 
watz ndo tunapenda kuwa na uhusiano na nchi bila kuwa na maslah yanayoeleweka au kwa maslah ya kikundi cha wachache. mataifa yote duniani yanaangalia maslah yao kwanza ktk uhusiano wowote.
 
Waarabu ndiyo chanzo cha matatizo makubwa hapa DUNIANI maana UGAIDI ni wao KUJITOA MHANGA ni wao mauaji ya watu wasio na hatia ni wao tu,ALQUIDA,ALSHABAB,BOKO-HARAM,ISIL na vikundi vingine vinavyoua watu huko IRAQ na SYRIA ni wao na wanajulikana na kila mtu lakini kuna watu wengine wanadai eti ni MAREKANI na wanaoeneza habari hizi ni hao hao WAARABU.
 
Mbona humtaji muislamu mwenzako IRan na Saudi Arabia ambao hufinance Boko Haram, na ISIS? usiichukie marekani kwa sababu ni Taifa la nguvu la kikristo.
 
Urafiki si kuungana mkono hata penye ubaya. Kumuunga mkono rafiki hata anapokosea huo ndio unafiki hasa!!!!!!

Kumlaumu mtu anapokosea siyo uadui. Wewe ulitaka aue raia wasio na hatia kwa sumu haalfu dunia nzima ichekelee tu?

Kuungana na adui katika jambo jema ni dalili ya ukweli na nia thabiti. Adui anakuwa adui anapofanya jambo la kukudhuru. Lakini binadamu wa kawaida anapoonyesha roho ya kumsaidia huyo unayemwita adui, kumtoa kwenye mkwamo, kwa nini wewe ulazimishe ashikilie ubaya, aache kusaidia? Wewe ndiye unaroho ya shetani isiyokuwa na suluhu.

Kwa hiyo wewe ungemwona mmarekani si mnafiki, kama angeacha raia wasio na hatia wa syria wanaendelea kumalizika kwa hili shetani ISIS? Huoni tu kwamba bado yuko katika mtiririko ule ule wa kuwatetea raia wa syria? Raisi wao alipokuwa anawaua kwa sumu, America ilipiga kelele kulaani mauaji yale. Kosa liko wapi katika hoja hii?
Leo ISIS inachinja raia wa syria kama vile mulima asafishavyo mbigiri shambani, raisi wa syria amezidiwa, America inaamua kumsaida, ubaya au kosa la Americaliko wapi hapa?

My dear, is good you learn when to cast a stone. Si kila kitu unalaumu maadam, America ilishakuwa shamba lenu la bibi la kulaumu.

Please, wish you a peaceful weekend.

Wakuu hapo kati kati rais wa Syria alilaumiwa sana kwa kuwaua raia wake kwa silaha za kemikali mataifa makubwa sana sana marekani yalimshambulia huyu rais.

Leo mMarekani amesahau yote hayo anataka kuungnisha nguvu na Syria inayoua raia wake kwa kemikali kama wakubwa mlivyodai awali wawasambaratishe Isis.Huu ni unafiki rais wa syria usikubaliane nao.
 
Uwe mkweli na wewe. Unaweza kukana kwamba chanzo cha matatizo na machafuk dunini ni waarabu? Wewe kama huoni, husikii pia? Tafadhil uwe mkweli. America nidyo inawatuma waarabu kuchinja watu duniani? Acha kabisa wewe!.

True kaka, Marekani ndio chanzo cha machafuko yote duniani. Ni taifa la kinafiki kabisa.
 
Mbona humtaji muislamu mwenzako IRan na Saudi Arabia ambao hufinance Boko Haram, na ISIS? usiichukie marekani kwa sababu ni Taifa la nguvu la kikristo.

Acha kupotosha.ukristo gani Wamarekani walionao?
 
Wewe ndiye mnafiki kujadili masuala ya jirani wakati kwako una njaa umasikini, magonjwa na dhiki zimekujaa mpaka puani! Urafiki wa Syria na America unakuhusu nini wewe?
Muhimbili umepeleka dawa na vifaa? Ocean rd umepeleka madawa na Vifaa vya kutibu cancer?
Ninyi watu akili zenu sijui nani kazila? Kutwa marekani marekani wakati wenzenu wanakula na kusaza ninyi watoto wenu wana kwashakoo na utapiamlo huku mmewafunga matambaa meusi mikononi!!!!
Adui mkubwa wa mwanadamu ni kukosa Akili!
 
Waarabu ndiyo chanzo cha matatizo makubwa hapa DUNIANI maana UGAIDI ni wao KUJITOA MHANGA ni wao mauaji ya watu wasio na hatia ni wao tu,ALQUIDA,ALSHABAB,BOKO-HARAM,ISIL na vikundi vingine vinavyoua watu huko IRAQ na SYRIA ni wao na wanajulikana na kila mtu lakini kuna watu wengine wanadai eti ni MAREKANI na wanaoebeza habari hizi ni hao hao WAARABU.

Umesahau Na Anti-BARAK awa sijui ni waarabu pia
 
Urafiki si kuungana mkono hata penye ubaya. Kumuunga mkono rafiki hata anapokosea huo ndio unafiki hasa!!!!!!

Kumlaumu mtu anapokosea siyo uadui. Wewe ulitaka aue raia wasio na hatia kwa sumu haalfu dunia nzima ichekelee tu?

Kuungana na adui katika jambo jema ni dalili ya ukweli na nia thabiti. Adui anakuwa adui anapofanya jambo la kukudhuru. Lakini binadamu wa kawaida anapoonyesha roho ya kumsaidia huyo unayemwita adui, kumtoa kwenye mkwamo, kwa nini wewe ulazimishe ashikilie ubaya, aache kusaidia? Wewe ndiye unaroho ya shetani isiyokuwa na suluhu.

Kwa hiyo wewe ungemwona mmarekani si mnafiki, kama angeacha raia wasio na hatia wa syria wanaendelea kumalizika kwa hili shetani ISIS? Huoni tu kwamba bado yuko katika mtiririko ule ule wa kuwatetea raia wa syria? Raisi wao alipokuwa anawaua kwa sumu, America ilipiga kelele kulaani mauaji yale. Kosa liko wapi katika hoja hii?
Leo ISIS inachinja raia wa syria kama vile mulima asafishavyo mbigiri shambani, raisi wa syria amezidiwa, America inaamua kumsaida, ubaya au kosa la Americaliko wapi hapa?

My dear, is good you learn when to cast a stone. Si kila kitu unalaumu maadam, America ilishakuwa shamba lenu la bibi la kulaumu.

Please, wish you a peaceful weekend.

we kilaza kumbuka silaha za isis zilitoka hukohuko kwa hao amerika na wenzie kipindi cha gadafi na sadam. Kushabikia usa inaitaji uwe chizi kidogo
 
Mm nina washukuru sana wamarekani na sipati picha kama marekani isinge kuwepo hawa waislamu vyenyewe wangetusumbaua napenda marekani iishi maisha marefu
 
Back
Top Bottom