Hapa Duniani kuna wananchi waoga kama Raia wa Tanzania na Uganda?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,551
Reaction score
20,346
Great Thinkers.

Nadhani pakitokea ranks za raia waoga dhidi ya watawala wabidhilifu Tanzania na Uganda lazima tushike seat ya mbele.

Kinachotupoanza kikubwa ni unafiki imefika mahali hadi dini zinatumika kutetea ujinga, mimi.siyo mdini lakini itoshe kusema waislamu ni binadamu wanafiki kuliko viumbe eote.duniani ndo maana nchi za kiislamu kama africa magaharibi na uarabuni migogoro na.mapinduzi haviishi na ninaamini kabisa bila unafiki wa waislamu Tanzania CCM ingekuwa imeshatoka madarakani kitambo

Same applies to uganda sijui wale viumbe wamelishwa nini. They don't care about Uganda.. imagine Uganda imewekwa chini ya familia moja afu wao wanachekelea tu wapinzani wanapoteswa kama Tanzania.

Kwa kweli sishangai sana maana hata uchumi wetu unashabihiana tupo zero kabisa and we will not go anywhere tutabaki hapahapa Tulipo.kama hatutabadilika.

Hahaha.....Wewe utasimama mbele ya Risasi?

Risasi hata komandoo akiiona ananyosha mikono.
Kama hujui huwezi ukashinda na nguvu ya umma hata siku moja na hii ni duniani kote. watu wakiamua hakuna atakayepiga Risasi believe me.

Ndo maana watawala wengi wanapenda kutumia mfumo wa divide and rule watu wakiwa wamoja.kukuangusha ni swala.dogo sana hakuna.askari atakayezuia. Saivi wakristu wanasema vile waislamu wanasema hivi ila ajenda mbovu za watawala.bado zipo palepale
 
Sasa tuiangushe serikali Ili nani atawale?
 
Tunaogopa kufa madam , ila kondom hatuvai wala kofia ngumu na tunakunywa visungura.
Elimu inatakiwa, wala hakuna haja ya kufanya vurugu. Ni kuwa tu na umoja, kwamba ufisadi, anasa kwa viongozi zimezidi na wameruhusiwa na Raisi. Sasa wananchi wanatakiwa kuwa na umoja kugomea kila kitu, mpaka hali ibadilike. Plan A ikishindwa tumia plan B.
 
Halafu wenyewe wakikaa kutafuta Rais eti wanajifanya wanafanya vetting ya ukweli kutafuta Kiongozi bora wa kuliongoza Taifa lililolala. Si hata mimi naweza? Kwa hawa Viongozi vilaza ninaowaonana Wananchi waoga si hata mimi naiongoza nchi hii vizuri tu?
 
ya
Great Thinkers.

Nadhani pakitokea ranks za raia waoga dhidi ya watawala wabidhilifu Tanzania na Uganda lazima tushike seat ya mbele.

Kinachotupoanza kikubwa ni unafiki imefika mahali hadi dini zinatumika kutetea ujinga, mimi.siyo mdini lakini itoshe kusema waislamu ni binadamu wanafiki kuliko viumbe eote.duniani ndo maana nchi za kiislamu kama africa magaharibi na uarabuni migogoro na.mapinduzi haviishi na ninaamini kabisa bila unafiki wa waislamu Tanzania CCM ingekuwa imeshatoka madarakani kitambo

Same applies to uganda sijui wale viumbe wamelishwa nini. They don't care about Uganda.. imagine Uganda imewekwa chini ya familia moja afu wao wanachekelea tu wapinzani wanapoteswa kama Tanzania.

Kwa kweli sishangai sana maana hata uchumi wetu unashabihiana tupo zero kabisa and we will not go anywhere tutabaki hapahapa Tulipo.kama hatutabadilika.
View attachment 3315177
yani hili linalo ongoza nchi saivi ni kama jini. akili ni empty kabisa na mbaya zaidi amezungukwa na chawa. ndomaana unaweza ona fedha za mikopo zinanunua perfume za kugawa bure. yani mtu anukie hata kama amelala njaa 😎 😎 😎
 
Kama hujui huwezi ukashinda na nguvu ya umma hata siku moja na hii ni duniani kote. watu wakiamua hakuna atakayepiga Risasi believe me.

Ndo maana watawala wengi wanapenda kutumia mfumo wa divide and rule watu wakiwa wamoja.kukuangusha ni swala.dogo sana hakuna.askari atakayezuia. Saivi wakristu wanasema vile waislamu wanasema hivi ila ajenda mbovu za watawala.bado zipo palepale
Sahihi mno.
 
Great Thinkers.

Nadhani pakitokea ranks za raia waoga dhidi ya watawala wabidhilifu Tanzania na Uganda lazima tushike seat ya mbele.

Kinachotupoanza kikubwa ni unafiki imefika mahali hadi dini zinatumika kutetea ujinga, mimi.siyo mdini lakini itoshe kusema waislamu ni binadamu wanafiki kuliko viumbe eote.duniani ndo maana nchi za kiislamu kama africa magaharibi na uarabuni migogoro na.mapinduzi haviishi na ninaamini kabisa bila unafiki wa waislamu Tanzania CCM ingekuwa imeshatoka madarakani kitambo

Same applies to uganda sijui wale viumbe wamelishwa nini. They don't care about Uganda.. imagine Uganda imewekwa chini ya familia moja afu wao wanachekelea tu wapinzani wanapoteswa kama Tanzania.

Kwa kweli sishangai sana maana hata uchumi wetu unashabihiana tupo zero kabisa and we will not go anywhere tutabaki hapahapa Tulipo.kama hatutabadilika.
View attachment 3315177
View attachment 3315178
 
Attachments

  • 5781825-51775523b226d8414338068b2d50cfec.mp4
    3 MB
Aliyeturoga siku anafukia ujasiri alikuwa mtupu kainama , sasa hapo ujasiri utoke wapi ? Halafu kafa na kaburi halionekani , tuombee Neema ya MUNGU sana.
 
Back
Top Bottom