Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 400
- 811
Hii For the first time ever
Hii Ina maana hawatambui Ile fainali yetu ya Abiola kapu 93?
Hii Ina maana hawatambui Ile fainali yetu ya Abiola kapu 93?
Muda huu ni sahihi kuongea na hersi arudishe pesa alizochota na kwenda nazo CAS akarudi akaawambia mnendelee kukaza fuvu kuwa hamchezi
Asiione muhasibu atalia sana na kububujikwa na machoziHii For the first time ever
Hii Ina maana hawatambui Ile fainali yetu ya Abiola kapu?
View attachment 3336329
Kaka vaa medali hiyo ya ndugu abiola mashudu.Muda huu ni sahihi kuongea na hersi arudishe pesa alizochota na kwenda nazo CAS akarudi akaawambia mnendelee kukaza fuvu kuwa hamchezi
avae nani? uto mnahangaika sana kumbe wabunifu ivi?Kaka vaa medali hiyo ya ndugu abiola mashudu.
Waache tu wajitoe akiliHii For the first time ever
Hii Ina maana hawatambui Ile fainali yetu ya Abiola kapu?
View attachment 3336329
Halafu Utto wanaulizia medali za 1993 ziko wapi?
Aliyeandika haya naye alikuwa hajazaliwa na usikute ni Hersi ndiyo kayafanya haya.Hii For the first time ever
Hii Ina maana hawatambui Ile fainali yetu ya Abiola kapu?
View attachment 3336329