Hapa CAF wameikosea heshima Simba

Hapa CAF wameikosea heshima Simba

Lile lilikuwa bonanza sio mashindano halisi... Wqpakwa mafuta huwa mnauupzi. Hamtaki kuambiwa ukweli😂
 
Lile lilikuwa bonanza sio mashindano halisi... Wqpakwa mafuta huwa mnauupzi. Hamtaki kuambiwa ukweli😂
Wanayanga wengi ni Zero IQ

 
Ile ilikuwa ya kubumba ili kujilinganisha na Yanga. Rage fc hawajielewi
 
Shukrani zote ziende kwa timu ya Yanga, kwa kuitengenezea njia Simba kufuata nyayo zake. Siku zote mkubwa ni mkubwa tu.
 
Simba kafika fainali moja CAF wako sahihi
 
Hii For the first time ever
Hii Ina maana hawatambui Ile fainali yetu ya Abiola kapu 93?
View attachment 3336329View attachment 3336917
 
Hayakuwa Shirikisho hayo.... Yaani unabishana na CAF wenyewe
 
Nilipokua nasikia Nyuma mwiko wakiambiwa wenye akili ni wawili TU huko kwao,nikajua ni masihara TU,kumbe kweli nyinyi nyuma mwiko ni zero IQ, empty heads, hopeless kabisa.
Sasa hebu tazameni hapo Mohamedi Mwameja amevaa nini na akampa Ahmed Ally nae akaivaa,imeandikwa nini,au imeandikwa "supu ya Bure championship"?

 
Wanayanga wengi ni Zero IQ

Wamwambie akuletee na medal😂😂 .. fainal gan haina medal bro?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom