sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,045
Copy paste kutoka fb......
Tanzania kuna "๐ญ๐๐ฉ ๐ค๐ข๐๐๐ข๐๐ฌ" wengi wanaojiita "๐๐๐๐ค๐๐ซ๐ฌ" , hii ni sawa na panya kujifananisha na simba wakati hamwezi hata nyau.
Kumekua na tabia ya ajabu sana siku hizi, mtu anajijua kabisa hafikii hata theluthi ya hacker ila anaamua kujipachika jina la hacker, huu ni ushamba wa hali ya juu sana.
๐๐๐๐๐๐โ ๐๐ข๐ธ๐ข ๐ฏ๐ช ๐ฌ๐ข๐ฎ๐ข ๐ฎ๐ข๐ง๐ถ๐ฏ๐ฅ๐ช ๐ฎ๐ข๐จ๐ข๐ณ๐ช ๐ธ๐ข๐ฏ๐ข๐ฐ๐ซ๐ถ๐ข ๐ฌ๐ถ๐ต๐ฆ๐ฏ๐จ๐ฆ๐ฏ๐ฆ๐ป๐ข ๐ฏ๐ข ๐ฌ๐ถyaendesha.
sifa yake kuu anaweza kujitengenezea tools zake yeye mwenyewe, ku modify tools za wengine kwa kuongeza manjonjo yake n.k. na hata akitumia scripts za wengine ni kuokoa tu muda, sio kwamba hawezi kujitengenezea yake.(no need to re invent the wheel)
anaujua mtiririko wa system, anajua nini kinafanyika mpaka kinatokea kitu Fulani, maswali yake huwa ni kwanini au inakuwaje tool hii iko hivi na hivi, sio kama kundi la pili wanakimbilia kuulizia tool ipi watumie bila kuwa na understanding ya work flow.
๐ฆ๐๐ฅ๐๐ฃ๐ง ๐๐๐๐๐๐โ ๐ฉ๐ข๐ธ๐ข ๐ฏ๐ช ๐ฌ๐ข๐ฎ๐ข ๐ฎ๐ข๐ฅ๐ฆ๐ณ๐ฆ๐ท๐ข ๐ธ๐ข ๐ฎ๐ข๐จ๐ข๐ณ๐ช ya automatic.
Hawa huwa wanajua kutumia script lakini hawajui nini kilicho nyuma ya hizo scripts mpaka zinaleta matokeo flani maana hawana hata elimu ya fundamentals za mtiririko wa process zinazoendelea pindi wanapozitumia scripts, hii inamfanya akose ubunifu.
Wanachojua ni kutumia scripts ambazo zimetengenezwa na hackers.
script ikiharibika ama ikileta matatizo hua hawezi kuirekebisha, yeye kakariri tu commands kwamba akichapa hivi kwenye keyboard basi kitakuja kitu Fulani.
ila kidogo wana nafuu maana angalau wanajua ku tumia hzo scripts za lugha mbali mbali kama JavaScript,PHP, Python, Ruby, Groovy, Perl, Lua,Bash, n.k. kundi linalofata hata kutumia scripts ni shughuli nzito, wanachukia sana scripts.
๐ง๐๐ฃ ๐๐๐๐๐๐- ๐ฉ๐ข๐ธ๐ข ๐ฏ๐ช ๐ฌ๐ข๐ฎ๐ข ๐ฎ๐ต๐ฐ๐ต๐ฐ ๐ข๐ฏ๐ข๐ฆ๐ฑ๐ข๐ฌ๐ข๐ต๐ธ๐ข ๐ฏ๐ข ๐ฅ๐ฆ๐ณ๐ฆ๐ท๐ข, yeye ๐ข๐ฏ๐ข๐ฏ๐บ๐ฐ๐ฐ๐ด๐ฉ๐ข ๐ต๐ถ ๐ถ๐ด๐ถ๐ฌ๐ข๐ฏ๐ช.
Ewaaa!! sasa hiki ndio kichaka cha wabongo wengi wanaojiita hackers, Mtu anajiita hacker kwenye ishu za kawaida kabisa.
-kapewa file la hatunnel kaanza kutumia freenet, anajiona hacker.
-kadownload app ya kuroot simu yenye kisehemu cha kuminya root, anajiona hacker
-kadownload software iliyovunjwa ili itumike bure, anajiona hacker
-anatumia firmware ya dtb kwenye kingamuzi ili akwepe malipo, anajiona hacker
-kaingiza window ya ubuntu au kali linux kwenye laptop, tayari anajiona hacker
-ka unlock modem / simu kwa maelekezo ya youtube, anajiona hacker, ๐๐๐๐
GASTA DI ELOO NYAMBAFU! hebu acheni kushusha thamani za taaluma za watu aisee.
Hawa wengi hata umpe script atabaki anaishangaa, ni weupe Zaidi ya script kiddies.
huwa wanazikwepa scripts, huwa wanapenda kutumia program/ app kwasababu huwa zimerahisisha mtitririko wa sctipt, wanagonga tu sehem kazi imeisha, hakuna mambo ya kuumiza kichwa wala kuandika command lines za kutumua script, ni mwendo wa kubofya tu.
hapa ndio kuna mambo ya kuminya kwa mouseโฆ next, next, accept terms, done, finish.
.............................................................................
SASA TUELEWANE.
Msiwe mnawaita hackers, muwe mnawaita "TAP KIDDIES" ๐๐๐. mnapowaita hackers huwa wanavimba vichwa sana na hilo ndio huwa lengo lao
wao wanapojiita hackers, kuweka profile picture za hackers na kuleta fujo kwenye groups ili wasifiwe ni hackers huwa ni kama mtoto mdogo kavaa ndevu bandia ili aamkiwe, Msiwatimizie lengo lao kirahisi, kwanza hua inaua kipaji ๐, waiteni tap kiddies wapate hasira ya kupiga hatua..