Halafu mngemuanzishia thread ya kumponda hana kazi,hayuko serious!!
Wewe hapo Russian mpk hivyo vitu vinahappen serekali imeshapata kodi ya kutosha.JK angeishia kupiga picha na kucheka basi tushamzoea na ndiyo rais.Halafu mngemuanzishia thread ya kumponda hana kazi,hayuko serious!!
![]()
Siwezi kufikiria 'reaction' hapa ingekuwaje kama huyu angekuwa JK.
Kazi na dawa,maisha hayasimami.
![]()
Siwezi kufikiria 'reaction' hapa ingekuwaje kama huyu angekuwa JK.
Kazi na dawa,maisha hayasimami.