Hapa alikuwepo

MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
16,952
10,500
hapa mzee karume alikuwepo.. SAWA!
upload_2017-1-11_9-7-48.png


MBONA HAPA HAKUWEPOOOO???????

upload_2017-1-11_9-5-48.png
 

Attachments

  • udongo.jpg
    udongo.jpg
    25.7 KB · Views: 62
Kalume aliwai kusema "Kama koti linakubana livue.
Angekuwepo hayati Jumbe angetuelezea maana ya hizo picha.
Kwahiyo hiyo picha ndiyo ushahidi kua karume hakuwepo siku ya tukio ama unataka kusema nini?
 
Wengi mnapenda sana uchochezi bila kujua, mimi nafahamu kilakitu na hizo picha zote zinaelezeka simply kabisa, Haya ulizeni maswali yenu
 
Itakuwa na yeye alikuwa anachanganya mwingine kule Zanzibar , Maana hapo Mzee Mareale alituwakilisha Watanganyika
 
Back
Top Bottom