kwanini wasiondolewe wote kwanzia mr hambiliki na hao wapambe wake wote
Sent using Jamii Forums mobile app
wananchi sababu ndo nguvu iliyobaki kubwa against mr haambiliki wengine wote wanafki na wamezidiwa nguvuNani atamtoa mr Haambiliki?? Lol
Nani atamtoa mr Haambiliki?? Lol
Baada ya Hard Talk tunaweza kuwa na causality ambae ni public figureDada Sky sijakuelewa 😭
Inarushwa liniBaada ya Hard Talk tunaweza kuwa na causality ambae ni public figure
Kesho saa tano usiku saa za Afrika Mashariki BBC 1Inarushwa lini
Uzuri generator ipo hata umeme ukikatika,na ina mafuta.Kesho saa tano usiku saa za Afrika Mashariki BBC 1
Imeonekana threads nyingi za kuishauri serikali, kuhusu jambo lolote...neno ‘ hashauriki’ limekua common,,,,
Sasa kwa nini mpo Ofisini ?
Kuna mtu alishawahi kumshauri Magufuli awafukuze nyie washauri wake wote Magufuli akakataa? 😂😂😊😊🏃🏻♀️🏃🏻♀️
Seriously,huu ujumbe ni kwako Rais,neno hashauriki kila kona ni udhaifu,work on it for your personal development, I know you are self believer which is a good thing but kuongoza mamilioni ya watu ndani ya kichwa kimoja ni ngumu...Relax! Live! Enjoy...
nimejiskia tu kuandika lolote leo