Hao ni masai tu

That's how blind they are! hii ndiyo inaifanya ccm kuendelea kupeta kila siku, badala ya kuweka mazingira mazuri ya uchaguzi wameanza tena ushabiki wao kama kawaida, hawa jamaa wana akili zao za ajabu sana, baada ya uchaguzi utawasikia wanalalamika tume haiko huru.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulizeni vishundu hivyo mzae salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kura pekee haiwezi kuitoa ccm madarakani,kitu cha ziada kinahitajika kufanyika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…